Malecela angeukwaa urais ingekuwaje?

Malecela angeukwaa urais ingekuwaje?

Usitake kukimbia hapa.....

Vipi nikianzisha thread ya SAS utakuja huko na kuzimwaga hizo "ze dataz"...?

...nenda Alaska mkajiandae 2012 wenzako wametangulia,vipi huko uliko ushaanza campaign kulisaidia lile hate monger Chambliss...hope litaanguka vibaya sana.
 
Saxby atashinda kwa landslide mithili ya tsunami....kama unabisha subiri uone....hakuna Democraps maeneo ya huku
 
...who cares,lots of warmongers,bigots & uneducated people down there,just keep your stupid South!
 
Back
Top Bottom