Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
malecela anadaiwa kung'oa mashine aliyokifadhili kijiji cha mtera
Haki ya nani..uzee mwingine balaa tupu!! Au ana mpango wa kuihamishia jimbo la Same kwa mkewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
malecela anadaiwa kung'oa mashine aliyokifadhili kijiji cha mtera
</p>katika hali inayoonesha kuwepo kwa machungu ya kushindwa katika kura za maoni ndani ya chama chetu, malecela anadaiwa kung'oa mashine aliyokifadhili kijiji cha mtera kwa kisingizio cha yeye kutokuthaminiwa na wana kijiji hao.</p>
<p>habari nilizopata kutoka kwa kigogo mmoja wa ccm mkoani ni kwamba chama mkoani kimeamua kufuatilia suala hilo na kumsihi mzee malecela aachane kuendeleza makundi ndani ya chama na suala hilo kuonekana kama kadhia kwa chama.</p>
<p>mkuu mwenye taarifa zozote zaidi atutaarifu kwani mambo hayo ya 'upatanishi' yamekuwa yakifanyika kwa usiri na uangalifu mkubwa.</p>
<p>nawasilisha!!
Kingunge mchonganishi yanamhusu nini ya mtera kwani alikuwepo wakati wanapeana?.Afunge bakuri lake huyo mzee nasikia anajiandaa kuwabwatukia maaskofu kwa mara nyingine.
Kingunge mchonganishi yanamhusu nini ya mtera kwani alikuwepo wakati wanapeana?.Afunge bakuri lake huyo mzee nasikia anajiandaa kuwabwatukia maaskofu kwa mara nyingine.
Ndugu Kichuguu i cant believe this is coming from you.Yani viongozi waalendo wa act kama wakoloni dhidi ya wananchi?Mfano wako ni extremelly irrelevant.Uhusiano kati ya makaburu na wananchi kamwe siyo jambo jema kuufananisha na uhusiano wa viongozi wazalendo na wananchi..And if thats the case then change is imminent.Sioni tatizo hapa kama mashine ile ni mali yake na alikuwa anawaazima wapiga kura waka kama mbunge wao. Sasa ana haki ya kuchukua mali yake hiyo kwa vile siyo mbunge wao tena. Mwaka 1965 ujerumani ya magharibi walibomoa barabara walizokuwa wanatujengea hapa Dar na kuiacha Nkurumah Hall bila kuimaliza wakati tulipokataa kuvunja uhusiano na ujerumani ya mashariki wakati huo itakuwaje Mzee Malecela asifaye yaliyo ya muhimu kwake.
Ukitaka kula lazima uliwe, watu hao wamekataa kuliwa basi hakuna kula tena
Ndugu Kichuguu i cant believe this is coming from you.Yani viongozi waalendo wa act kama wakoloni dhidi ya wananchi?Mfano wako ni extremelly irrelevant.Uhusiano kati ya makaburu na wananchi kamwe siyo jambo jema kuufananisha na uhusiano wa viongozi wazalendo na wananchi..And if thats the case then change is imminent.