Malecela apongeza uimara wa CCM na Serikali zake kutumikia Watanzania

Political Jurist

Senior Member
Joined
Sep 6, 2021
Posts
143
Reaction score
120
Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM

Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam

Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa.

Akizungumza leo tarehe 5 Desemba 2024, baada ya kutembelewa nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Malecela alipongeza chama hicho kwa kuendelea kuonesha uongozi imara chini ya Mwenyekiti wake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Malecela ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu (Bara), alisema utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM unaendelea kwa kasi na umedhihirisha dhamira ya kweli ya chama hicho kuwatumikia Watanzania.

Alibainisha kuwa mafanikio ya Rais Dkt. Samia, hususan katika sekta za maendeleo ya miundombinu, afya, na elimu, yanapaswa kuwa chachu ya wanachama kuendeleza mshikamano na kuimarisha uongozi wa chama, ambacho kimejengwa juu ya misingi imara ya kutumikia watu.

“Wanachama wa CCM wanapaswa kuwa mfano bora wa uzalendo kwa wengine. Hili ni jukumu letu la kihistoria, ambalo tunapaswa kuliheshimu kwa vitendo,” alisema Malecela.

Kwa upande wake, Balozi Nchimbi alimshukuru Malecela kwa mchango wake wa mawazo na uzoefu unaoendelea kuwa hazina kubwa kwa Chama na Serikali.

Alisema viongozi wastaafu kama Malecela wamekuwa mstari wa mbele kutoa ushauri unaosaidia kuimarisha utendaji wa chama katika nyanja mbalimbali.

“Uzoefu wenu ni mwanga kwetu. Tunaendelea kuthamini mawazo yenu ambayo yamekuwa nguzo muhimu kwa chama na taifa kwa ujumla,” alisema Nchimbi.

Katika mazungumzo hayo, Malecela pia alitoa wito kwa wanachama wa CCM kuendeleza mshikamano na maadili ya chama, akisisitiza kuwa hiyo ni mojawapo ya misingi ya mafanikio ya CCM kwa zaidi ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwake.

Aliwaasa viongozi wa sasa wa CCM kuendeleza kazi nzuri wanayoifanya huku wakizingatia misingi ya haki, uwazi, na uwajibikaji.

Alisema maadili ya uongozi bora yamekuwa kichocheo kikubwa cha imani ya wananchi kwa CCM.

“Huu ni wakati wa kuchapa kazi zaidi, kuhakikisha tunazidi kuimarisha maendeleo ya nchi yetu huku tukiheshimu dhamira kuu ya chama ya kuwatumikia wananchi,” alihitimisha Malecela.

#Ends

IMG-20241205-WA1298.jpg
IMG-20241205-WA1448.jpg
IMG-20241205-WA1300.jpg
 
CCM Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe ( Uzuzu na Uchawa ndo unapoanzia hapo..)
 
Haya kuna mjumbe amesema wazee wanaokemea maovu wamebaki wawili Butiku na Warioba na akauliza akina mzee Malecela wako wapi, ndio hawa huku wanapongeza
 
Ile ya Warioba haina come back😀,

Mzee Malecela hana legacy na Background ya Warioba kwa 30%..

Loyal to CCM, Yes
Loyal to State, i dont know😀
 
Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM

Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam

Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa.

Akizungumza leo tarehe 5 Desemba 2024, baada ya kutembelewa nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Malecela alipongeza chama hicho kwa kuendelea kuonesha uongozi imara chini ya Mwenyekiti wake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Malecela ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu (Bara), alisema utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM unaendelea kwa kasi na umedhihirisha dhamira ya kweli ya chama hicho kuwatumikia Watanzania.

Alibainisha kuwa mafanikio ya Rais Dkt. Samia, hususan katika sekta za maendeleo ya miundombinu, afya, na elimu, yanapaswa kuwa chachu ya wanachama kuendeleza mshikamano na kuimarisha uongozi wa chama, ambacho kimejengwa juu ya misingi imara ya kutumikia watu.

“Wanachama wa CCM wanapaswa kuwa mfano bora wa uzalendo kwa wengine. Hili ni jukumu letu la kihistoria, ambalo tunapaswa kuliheshimu kwa vitendo,” alisema Malecela.

Kwa upande wake, Balozi Nchimbi alimshukuru Malecela kwa mchango wake wa mawazo na uzoefu unaoendelea kuwa hazina kubwa kwa Chama na Serikali.

Alisema viongozi wastaafu kama Malecela wamekuwa mstari wa mbele kutoa ushauri unaosaidia kuimarisha utendaji wa chama katika nyanja mbalimbali.

“Uzoefu wenu ni mwanga kwetu. Tunaendelea kuthamini mawazo yenu ambayo yamekuwa nguzo muhimu kwa chama na taifa kwa ujumla,” alisema Nchimbi.

Katika mazungumzo hayo, Malecela pia alitoa wito kwa wanachama wa CCM kuendeleza mshikamano na maadili ya chama, akisisitiza kuwa hiyo ni mojawapo ya misingi ya mafanikio ya CCM kwa zaidi ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwake.

Aliwaasa viongozi wa sasa wa CCM kuendeleza kazi nzuri wanayoifanya huku wakizingatia misingi ya haki, uwazi, na uwajibikaji.

Alisema maadili ya uongozi bora yamekuwa kichocheo kikubwa cha imani ya wananchi kwa CCM.

“Huu ni wakati wa kuchapa kazi zaidi, kuhakikisha tunazidi kuimarisha maendeleo ya nchi yetu huku tukiheshimu dhamira kuu ya chama ya kuwatumikia wananchi,” alihitimisha Malecela.

#Ends

View attachment 3169948View attachment 3169949View attachment 3169950
Wazee wa aina hii hawana faida yeyote hata wakifa ni sawa sawa na ni utukufu kwa mungu
 
Mwizi hata akizeeka anabaki kuwa mwizi na kutetea wezi
 
Huyu mzee ni miongoni mwa wale wazee ambao wakifa taifa haliwezi walilia mbaya zaidi anaendelea kuneemeka na kodi zetu huku akiwa na mchango finyu sana katika kukemea maovu yanayoendelea katika taifa letu
 
Hakika
 
Alibadili jina ili agombee uraisi
 
Sio kila mzee ni mwasisi wa chama!

Kikwete hakukosea!hope John chiligati yupo macho anampa madini nchimbi kuelekea 2025 Ili mlengwa akalie kiti!!

Au Wana mspin Mzee waioba!!?
 
Jana Warioba aling'arisha MVI zake nakujipatia utukufubwa kudumu.
Lakini hili zee la hovyo hovyo linaendelea kuboronga
 
Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM

Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam

Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa.

Akizungumza leo tarehe 5 Desemba 2024, baada ya kutembelewa nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Malecela alipongeza chama hicho kwa kuendelea kuonesha uongozi imara chini ya Mwenyekiti wake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Malecela ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu (Bara), alisema utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM unaendelea kwa kasi na umedhihirisha dhamira ya kweli ya chama hicho kuwatumikia Watanzania.

Alibainisha kuwa mafanikio ya Rais Dkt. Samia, hususan katika sekta za maendeleo ya miundombinu, afya, na elimu, yanapaswa kuwa chachu ya wanachama kuendeleza mshikamano na kuimarisha uongozi wa chama, ambacho kimejengwa juu ya misingi imara ya kutumikia watu.

“Wanachama wa CCM wanapaswa kuwa mfano bora wa uzalendo kwa wengine. Hili ni jukumu letu la kihistoria, ambalo tunapaswa kuliheshimu kwa vitendo,” alisema Malecela.

Kwa upande wake, Balozi Nchimbi alimshukuru Malecela kwa mchango wake wa mawazo na uzoefu unaoendelea kuwa hazina kubwa kwa Chama na Serikali.

Alisema viongozi wastaafu kama Malecela wamekuwa mstari wa mbele kutoa ushauri unaosaidia kuimarisha utendaji wa chama katika nyanja mbalimbali.

“Uzoefu wenu ni mwanga kwetu. Tunaendelea kuthamini mawazo yenu ambayo yamekuwa nguzo muhimu kwa chama na taifa kwa ujumla,” alisema Nchimbi.

Katika mazungumzo hayo, Malecela pia alitoa wito kwa wanachama wa CCM kuendeleza mshikamano na maadili ya chama, akisisitiza kuwa hiyo ni mojawapo ya misingi ya mafanikio ya CCM kwa zaidi ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwake.

Aliwaasa viongozi wa sasa wa CCM kuendeleza kazi nzuri wanayoifanya huku wakizingatia misingi ya haki, uwazi, na uwajibikaji.

Alisema maadili ya uongozi bora yamekuwa kichocheo kikubwa cha imani ya wananchi kwa CCM.

“Huu ni wakati wa kuchapa kazi zaidi, kuhakikisha tunazidi kuimarisha maendeleo ya nchi yetu huku tukiheshimu dhamira kuu ya chama ya kuwatumikia wananchi,” alihitimisha Malecela.

#Ends

View attachment 3169948View attachment 3169949View attachment 3169950
Huyu mgogo anakuwaga chawa tu
 
Wamechagua the wrong person and wrong approach kumjibu mzee
 
Sijui kwa nini watu wa Dodoma hawana bahati!!.Yaani wamekosa hata bahati ya wazee,nawaonea huruma
 
Ndio wanavyojibu hoja za JSW kwa mtindo huu sasa.
 
uimara wa CCM, akimaanisha mke ni mbunge huko same aliko zaliwa na anaishi naye Dodoma!

Hiking ni kituko kingine🤣
 
Back
Top Bottom