Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kwani alipokuwa Waziri je hakuwa Mbunge wa Kuteuliwa kwanza wakati huo?
Basi huyu mzee ukijumlisha 1975-1985 (10 Yrs), 1990-2009 (19 yrs), alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Raisi 1990-1994 (5 yrs), Na Mkuu wa Mkoa, na Waziri wa Nje n.k.
Miaka Ubunge kuchaguliwa ni 29 yrs.
Kama mshahara basi wa mbunge ni 84,000,000 kwa mwaka bila marupurupu basi atakuwa amefaidi hii pesa ya ubunge!
William, kwa ujumla wa miaka yote Mzee Malecela amekuwa mbunge kwa muda gani (ukiondoa utumishi mwingine)
- Hapana hakuwa mbunge, enzi hatukuwa na sheria ya kuwa waziri lazima uwe mbunge, hii sheria ilianza kama sikosei between 1990- 1995 kwamba kuwa waziri lazima uwe mbunge, sasa sheria ilipokuwa haipo hakuwa mbunge katika miaka yake mitatu ya uwaziri wa nje ingawa alikuwa anashiriki bungeni kama waziri, ili kuwa waziri Kingunge kwanza aliteuliwa rasmi kuwa mbunge na rais Kikwete, baadaye ndio akampa uwaziri, the same to Sophia Simba.
- Kwa hiyo DK. Malecela, alipokuwa waziri wa nje hakuna jina la Mb, kama wabunge wengine wa halali au hata wa kuchaguliwa na rais then, na asingeweza kuhudhuria mkutano wa wabunge wa Commonwealth, ingawa bado alikuwa akishiriki bunge la Tanzania kama waziri wa nje.
- Naamini sijagusa conflict of interest so far.
Ahsante.
William.
- Legally, amekua mbunge kwa miaka 24, yaani 5 ya 1980-1985, na 19 ya 1990-2009 = 24.
- 5 ya Dodoma Vijijini, na 19 ya Mtera.
Ahsante.
William.
what do you mean "legally"?
what do you mean "legally"?
- Akiwa waziri EAC hakuwa mbunge na akiwa waziri wa nje kwa miaka 3, hakuwa na title rasmi ya ubunge, aliipata kwa mara ya kwanza mwaka 1975.
- Leo huwezi kumuita waziri wa Tanzania kwa shughuli za ksierikali, kabla huja-mention Mbunge, sasa DK. Malecela alipokuwa waziri wa nje, alikuwa akiitwa waziri tu kwa shughuli za kiserikali bila ya ku-mention Mbunge, infact hata alipomaliza uwaziri wa nje hakupata anything kama marupu rupu ya kutoka kwenye ubunge kama after sheria kupita in the 90s.
William.
I'm more confused now.. ngoja nifute ile sehemu! Asante kwa fact check!
What has this to do with the legality of his tenure as a member of parliament? Ukisema "legally alikuwa mbunge from a to b" una maana huko kwingine alikuwa mbunge illegally.
Kumbe unachosema ni kuwa huko kwingine hakuwa mbunge!
Una confuse watu babu.
Nitajaribu tena,
- Kabla ya 1990, rais alikuwa na uwezo wa kumchagua anybody kuwa waziri bila ya kuwa mbunge, ingawa mawaziri na ma-RC siku zote wamekwua wakishirki bungeni.
- Mh. Abdulaziz ni Mbunge wa jimbo na RC anashiriki bungeni, lakini RC wa Dar sio mbunge wa kuchaguliwa jimboni lakini anashirki bungeni kama RC huyu sio mbunge as legally. Hawezi kuhudhuria mkytano wa wabunge wa CCM bungeni.
- I hope imesaidia, naona niende sasa kabla sija-overstay the wellcome.
William.
Statement ya "legally alikuwa mbunge from a to b" ni potofu, unless unamaanisha kabla ya hapo aliiba kura na kulazimisha kuingia bungeni kinyume cha sheria, akawa mbunge "illegally" kitu ambacho hakipo.
Kama hakuchaguliwa wala kuteuliwa kuwa mbunge, hakuwa mbunge.
Kama alichaguliwa, alikuwa mbunge
Kama aliteuliwa, alikuwa mbunge.
Sielewi hiyo sentensi ya "legally alikuwa mbunge from a to b" inatoka wapi.
Kuwa waziri bila kuwa mbunge, au kuwa waziri na kuwa mbunge wa kuteuliwa hakukufanyi kuwa mbunge "illegal"
Kushiriki shughuli za bunge bila ya kuwa mbunge, hakukufanyi kuwa "mbunge illegal"
Kauli jamani kauli, tunaweza kumpaka matope mtu akaonekana jambazi hivi hivi kwa kauli tu.
Heeh Willy,
Unavyosimulia na kukumbuka tarehe! Unamjua baba kuliko hata anavyojijua mwenyewe. Naamini yeye ukimuuliza hapo hakumbuki alikuwa anafanya nini mwaka gani
Asha
- Ahsante kwa member aliyenifahamisha kuhusu huu mjadala kuwepo, ni mjadala mwema na naona wananchi wanatoa mawazo yao ya kulisaidia taifa letu,
- Ila mimi kwangu naomba nisamahewe maana ndio mambo yenyewe haya ya conflict of interest,
- Lakini so far so good naona the main theme ni kwamba next uchaguzi wananchi wa Tanzania tutakuwa na mapya kuliko hawa wzee na CCM maana hawana mapya na wote ni mafisadi, fair analysis.
Mjadala mwema.
william.
- Punguza jazba na ukali mkuu, wote hapa ni watuwazima na tuna akili timamu suala ni kuelimishana na sio kukomoana au kushushana hadhi kwa sababu ya kutokubalina hoja au mawazo, au kukosea kutamka maneno.
- Unaonekana una upeo na elimu ya juu sasa itumie kuelimisha wananchi wenzako wasiokuwa nayo badala ya kujaribu kuwa-intmidate na maneno makubwa makubwa ambayo ni misplaced, lakini bado naheshimu your independent thinking.
Ahante.
William.