Malecela avunja ukimya!

Malecela avunja ukimya!

William, kwa ujumla wa miaka yote Mzee Malecela amekuwa mbunge kwa muda gani (ukiondoa utumishi mwingine)
 
Huyu mzee ni mvumilivu na anastahili pongezi kwa hilo.
hivi wakuu huyu mzee kwanini alikuwa tishio sana kwa nyerere mpaka nyerere kutishia kujitoa ccm kama hataaondoa jina lake 1995?mbona alikuwa na uhakika wa kuwaondoa kina msuya,lowasa,kikwete,msekwa et al kwenye vikao vya mchujo hata kwa mizengwe lakini hakutaka kabisa jina la malecela liingie kwenye mchakato ule.kuna sababu nyingine ukiacha serikali ya tanganyika na kampeni yake kufadhiliwa na waarabu?
 
Kwani alipokuwa Waziri je hakuwa Mbunge wa Kuteuliwa kwanza wakati huo?

Basi huyu mzee ukijumlisha 1975-1985 (10 Yrs), 1990-2009 (19 yrs), alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Raisi 1990-1994 (5 yrs), Na Mkuu wa Mkoa, na Waziri wa Nje n.k.

Miaka Ubunge kuchaguliwa ni 29 yrs.

Kama mshahara basi wa mbunge ni 84,000,000 kwa mwaka bila marupurupu basi atakuwa amefaidi hii pesa ya ubunge!

- Hapana hakuwa mbunge, enzi hatukuwa na sheria ya kuwa waziri lazima uwe mbunge, hii sheria ilianza kama sikosei between 1990- 1995 kwamba kuwa waziri lazima uwe mbunge, sasa sheria ilipokuwa haipo hakuwa mbunge katika miaka yake mitatu ya uwaziri wa nje ingawa alikuwa anashiriki bungeni kama waziri, ili kuwa waziri Kingunge kwanza aliteuliwa rasmi kuwa mbunge na rais Kikwete, baadaye ndio akampa uwaziri, the same to Sophia Simba.

- Kwa hiyo DK. Malecela, alipokuwa waziri wa nje hakuna jina la Mb, kama wabunge wengine wa halali au hata wa kuchaguliwa na rais then, na asingeweza kuhudhuria mkutano wa wabunge wa Commonwealth, ingawa bado alikuwa akishiriki bunge la Tanzania kama waziri wa nje.

- Naamini sijagusa conflict of interest so far.

Ahsante.

William.
 
Hii kama ni kweli hivi nani huyu aliyeleta hii sheria mufilisi kuwa lazima uwe mbunge ndipo uteuliwe kuwa waziri?Kachangia sana kuiharibu tanzania huyu!
 
W.J.M umenifurahisha unavyojibu hoja tehe tehe yaani hutaki kabisa kugusaconflict of interest......2010 una kura yangu mkuu.....

....lakini Dr Mb mzee Malecela hajatangaza kutogombea tena ubunge mkuu?
 
what do you mean "legally"?

- Akiwa waziri EAC hakuwa mbunge na akiwa waziri wa nje kwa miaka 3, hakuwa na title rasmi ya ubunge, aliipata kwa mara ya kwanza mwaka 1975.

- Leo huwezi kumuita waziri wa Tanzania kwa shughuli za ksierikali, kabla huja-mention Mbunge, sasa DK. Malecela alipokuwa waziri wa nje, alikuwa akiitwa waziri tu kwa shughuli za kiserikali bila ya ku-mention Mbunge, infact hata alipomaliza uwaziri wa nje hakupata anything kama marupu rupu ya kutoka kwenye ubunge kama after sheria kupita in the 90s.

What has this to do with the legality of his tenure as a member of parliament? Ukisema "legally alikuwa mbunge from a to b" una maana huko kwingine alikuwa mbunge illegally?

Kumbe? unachosema ni kuwa huko kwingine hakuwa mbunge?

Ukiwa waziri usiye mbunge katika serikali ambayo haihitaji uwe mbunge ili uwe waziri, halafu ukapata ubunge baadaye, huwezi kusema legally amekuwa mbunge kuanzia pale alipopata ubunge, unasema tu amekuwa mbunge kuanzia pale alipopata ubunge.

Kuna wengine watapata picha kuwa Mzee alikwapua ubunge illegally bure!

Wabunge wote, wakuchaguliwa na kuteuliwa, ni legal.It would be absurd to have an illegal lawmaker!

Una confuse watu babu.

Bottom line tumeona kuwa, jimbo la Mtera halikuwepo mwaka 1969, kwa hiyo Malecela hawezi kuwa amewakilisha jimbo la Mtera kwa miaka 40.

Malecela hakuwa mbunge 1969 kwa hiyo hawezi kuwa amekuwa mbunge kwa miaka 40.
 
Last edited:
I'm more confused now.. ngoja nifute ile sehemu! Asante kwa fact check!

- Baada ya sheria kupita after 1990, kuwa waziri ilikuwa ni lazima uwe mbunge kisheria, either uwe umechanguliwa na rais, au wananchi jimboni.

- Baada ya 1990 ili rais akupe uwaziri bila ya kuwa mbunge, ni lazima atangaze kwanza rasmi kukuchagua kuwa mbunge wa kuteuliwa na rais, ndio then atatangaza kuwa anakuchagua kuwa waziri mifano ni Mh. Sophia Simba na Kingunge.

William.
 
What has this to do with the legality of his tenure as a member of parliament? Ukisema "legally alikuwa mbunge from a to b" una maana huko kwingine alikuwa mbunge illegally.

Kumbe unachosema ni kuwa huko kwingine hakuwa mbunge!

Una confuse watu babu.

Nitajaribu tena,

- Kabla ya 1990, rais alikuwa na uwezo wa kumchagua anybody kuwa waziri bila ya kuwa mbunge, ingawa mawaziri na ma-RC siku zote wamekwua wakishirki bungeni.

- Mh. Abdulaziz ni Mbunge wa jimbo na RC anashiriki bungeni, lakini RC wa Dar sio mbunge wa kuchaguliwa jimboni lakini anashirki bungeni kama RC huyu sio mbunge as legally. Hawezi kuhudhuria mkytano wa wabunge wa CCM bungeni.

- I hope imesaidia, naona niende sasa kabla sija-overstay the wellcome.

Statement ya "legally alikuwa mbunge from a to b" ni potofu, unless unamaanisha kabla ya hapo aliiba kura na kulazimisha kuingia bungeni kinyume cha sheria, akawa mbunge "illegally" kitu ambacho hakipo.

Kama hakuchaguliwa wala kuteuliwa kuwa mbunge, hakuwa mbunge.

Kama alichaguliwa, alikuwa mbunge

Kama aliteuliwa, alikuwa mbunge.

Sielewi hiyo sentensi ya "legally alikuwa mbunge from a to b" inatoka wapi.

Kuwa waziri bila kuwa mbunge, au kuwa waziri na kuwa mbunge wa kuteuliwa hakukufanyi kuwa mbunge "illegal"

Kushiriki shughuli za bunge bila ya kuwa mbunge, hakukufanyi kuwa "mbunge illegal"

Kauli jamani kauli, tunaweza kumpaka matope mtu akaonekana jambazi hivi hivi kwa kauli tu.
 
- Punguza jazba na ukali mkuu, wote hapa ni watuwazima na tuna akili timamu suala ni kuelimishana na sio kukomoana au kushushana hadhi kwa sababu ya kutokubalina hoja au mawazo, au kukosea kutamka maneno.

- Unaonekana una upeo na elimu ya juu sasa itumie kuelimisha wananchi wenzako wasiokuwa nayo badala ya kujaribu kuwa-intmidate na maneno makubwa makubwa ambayo ni misplaced, lakini bado naheshimu your independent thinking.

Ahante.

William.
 
Heeh Willy,

Unavyosimulia na kukumbuka tarehe! Unamjua baba kuliko hata anavyojijua mwenyewe. Naamini yeye ukimuuliza hapo hakumbuki alikuwa anafanya nini mwaka gani

Asha
 
Heeh Willy,

Unavyosimulia na kukumbuka tarehe! Unamjua baba kuliko hata anavyojijua mwenyewe. Naamini yeye ukimuuliza hapo hakumbuki alikuwa anafanya nini mwaka gani

Asha

- Ahsante mkuu, ni moja ya plus ya kuwepo kwa wananchi kama mimi hapa JF, yaani uwazi na ukweli. Can you imagine nisingekuwepo si tungetoana meno na macho hapa mkuu na hii hoja ndogo sana ya historia ya taifa letu wenyewe, maana ingekua historia ya Obama ningeelewa!

Ahsante Mkuu.

William.
 
Kuanguka kwa Sultani CCM hakutasaidiwa na wachezaji waliokwisha cheza ,maana ikiwa wamemaliza marezevu na sasa wanaibuka wale wa zamani na kuonyesha ukocha hawafiki popote ,hivi hawa dizaini za akina Mwinyi kwanini hawatulii pembeni na kuwa kama mastaafu ambao baada ya kuelekea upande mmoja wawe wanakuwepo katika sehemu zote kama Maraisi au mawaziri wa Kuu wastaafu ili kwa ujumla wananchi wabakize heshima juu yao,maana kama kulipwa wanalipwa na Serikali Kuu Ya Taifa na sio Chama ,hivyo wawe wanaelekeza taifa zima na kusaidia taifa zima sio wawepo kwenye chama wakizidi kugandamiza.wanatafuta kuzabwa vibao bure na wananchi wenye hasira kali.Yote ni kujibanza kwenye Chama kimoja ndio maana yake.

We weacha tu siku Sultani akianguka tutawaambia waelekee huko wakalipwe.
 
- Ahsante kwa member aliyenifahamisha kuhusu huu mjadala kuwepo, ni mjadala mwema na naona wananchi wanatoa mawazo yao ya kulisaidia taifa letu,

- Ila mimi kwangu naomba nisamahewe maana ndio mambo yenyewe haya ya conflict of interest,

- Lakini so far so good naona the main theme ni kwamba next uchaguzi wananchi wa Tanzania tutakuwa na mapya kuliko hawa wzee na CCM maana hawana mapya na wote ni mafisadi, fair analysis.

Mjadala mwema.

william.

W. J. Malecela,

Kwa nini kunaweza kukawa na conflict of interest, kwani una maslahi, mahusiano ya kisiasa, undugu, biashara, uchunguzi ama kesi yeyote iliyoko mbele yako ambayo inabidi uiamue kuhusu Mzee Malecela?

Pia, wakati tunamwongelea Mzee Malecela hapa, wewe unasema "hawa wzee na CCM maana hawana mapya na wote ni mafisadi..."

Unamaanisha Mzee wetu Malecela ni fisadi? Tujue, kwa lipi? Kabla hujaanza kumchafua mzee wetu bila vidhibiti, tujue, ni huyu unaemuongelea, na amefanya nini tafadhali.
 
- Punguza jazba na ukali mkuu, wote hapa ni watuwazima na tuna akili timamu suala ni kuelimishana na sio kukomoana au kushushana hadhi kwa sababu ya kutokubalina hoja au mawazo, au kukosea kutamka maneno.

- Hakuna jazba hapa, kama kuna jazba basi kuona hili nililolisema kama jazba ndiyo jazba yenyewe

- Naona umeleta swala la kuelimishana, huwezi kuelimika mpaka ukubali kuwa umekosea na umeelimishwa, jambo ambalo mpaka sasa hujafanya

- Katika kukomoana na kushushiana hadhi sipo, katika "zero tolerance" nipo.Hii "zero tolerance" tunaihitaji sana, siyo tu katika kupambana na ufisadi na kuleta maendeleo, bali hata katika mawazo na kauli zetu.Moja ya sababu tunakuwa maskini ni hili la kujiachia kuwa na kauli tata, zisizoeleweka, zenye kuweza kutafsiriwa vibaya kama hii kauli ya "legally alikuwa mbunge kutoka a mpaka b". Hii kauli inabidi isahihishwe au unajionyesha haambiliki.

- Unaonekana una upeo na elimu ya juu sasa itumie kuelimisha wananchi wenzako wasiokuwa nayo badala ya kujaribu kuwa-intmidate na maneno makubwa makubwa ambayo ni misplaced, lakini bado naheshimu your independent thinking.

Ahante.

William.

- Elimu ya juu sana sina, na hata kama ninayo wanasema wenye elimu ya juu ndio wanaoona jinsi wasivyo na elimu. Kuelimishana ni kazi yetu sote, lakini kutakuwa hakuna maana kama unapoelimishwa unakataa kuelimika. Sina nia ya ku intimidate mtu, na wala sijaanza kutumia maneno makubwa, na kama umejua kuwa yako misplaced basi si makubwa hivyo, kwa sababu naamini katika kuelimishana naomba unielimishe nime misplace wapi hayo maneno.

-Ukiheshimu independent thinking yangu utathamini ukweli kwamba Tanzania bado hatujawa na mbunge "illegal" and therefore it is unnecessary and misleading kuongea kuwa "legally alikuwa mbunge from a to b"
 
Back
Top Bottom