Malecela, Chitalilo Vs Dr Slaa


akili kumkichwa, mwenye ugonjwa huu hatari anahitaji kumwona daktari kwani hupelekea kupoteza kumbukumbu, kupoteza imani kwa wengine kwa kudhani huwa hakosei na kila akifanyacho yeye ndio kiko sawa.
 
huyu chitaliko anaififu mvua iliyomnyea, na hawezi kuutukana mkono wake wa kulia. fedha za epa ndo zilitumika kwenye kampeni yake.
 
Sour grapes.....wallahi ishakuwa noma sasa haya sasa ni saa ya mazungumzo baada ya habari, lete mwanangu tuvine sasa ngoma ya wachawi!

Unajua talking about aging, inanikumbusha jamaa kijana anayependa wamama wanaomzidi umri, Mtu mzima naomba tafsiri ya hii maana unaoneakana kuwa mtaalam sana wa haya mambo ya aging!

Heshima Mbele lakini! kwi! kwi!kwi!kwi!
 
sijasomo posting zote, hivyo kama nitakuwa narudia jambo mnisamehe.
jambo ninalojiuliza kwa huyu mzee wangu malecela, point ilikuwa ni nani akaanzisha huu mjadala au ni kuchangia kwenye kutafuta ufumbuzi wa hili jambo. mbona namuona anakuwa kama watoto wale likipita gari wanasema hili langu hili langu
 
Naomba mniwie radhi kwa kutoka nje ya maada kidogo, ninayojibu yametokana na Thread hii kwa mantiki hiyo ni kwamba nna stahili ya kuyajibia hapa.

Acha unafiki wewe mzozo!
Nani anasapoti kauli chafu?
Watu tunasonga mbele na wengine mnaanza unafiki wenu kama kawa!

Ndugu Yangu Jmushi,

Unaposema mtu aache unafiki ina maana ya kwamba yeye ni Mnafiki. Nashukuru kwa kunipatia 'Status' mpya hapa JF. Na nashukuru kwa kunitahadharisha ya kwamba niachane na Kauli chafu ila badala yake na nisonge mbele kulingana na taratibu zote za jukwaa.

Mbali na kuwa ni kioo cha Jamii, JF nadhani inaelimisha, fahamisha na ni njia ambayo Watanzania ambao tumejaaliwa kwa kufikiwa na Teknolojia ya mawasiliano ya Internet tunaimulika Serikali yetu, tukisifia mazuri na kukosoa mabaya.

Niliandika haya:


naomba unisaidie kwa kunifahamisha ni nini Unafiki wangu katika hilo hapo juu. Utakuwa umenisaidia kwa kunielimisha vya kutosha.

Jambo la pili kwa kweli nafahamu ya kwamba ni watu wengi sana wamekuwa wanaliongelea, ni pale ambapo mtu unakuwa unaingia na kuanza kuchangia katika maada kwa kushambulia bila hata kujua unaandika nini na unapinga nini na kukubaliana na nini. Hata Bendera nazo hufuata upepo; sasa wewe sijajua kama unaandika ili kuongeza idadi ya 'Posts' ulizonazo ama kuridhisha macho yako. Hii ni moja kwa moja kwa Ndugu Yangu JMushi.

JMUSHI

[QOUTE]
Not me!
Mi nachambua tu hapa!
Wapi hapo umeona nimemsapoti politician wakati huu?
Hapa tunakata issue!
Kama ningejali pundits nad cynists..Ningetangaza kujitoa jf kama Mchambuzi..Halafu unadhani sura ya mchezo ingekuwa hivi?
Jf ni kioo cha jamii na viongozi wa kambi zote wako hapa wakati tunakata issue!
Upande wa ccm ukishinda kwa hoja...SAWA WAPEWE NCHI!
Upande wa wazalendo ukishinda pia wapewe nchi kwa niaba ya watanzania!

[/QUOTE]

Nyie mnaotaka kurudisha hoja kuwa Jmushi mna lenu!
Watu wamesharudi kwenye hoja lakini mnataka kuwarudisha kwenye malumbano!
Wana jf msikubali!
Endeleeni hoja mimi niko kando!

Naomba nimshukuru huyu Member (Samahani nilisahau ku-quote jina) nadhani Jmushi angekuwa anasoma kila kitu na kupata mwelekeo wa mjadala asingekuwa anatuletea hizo GIGO (Garbage In Garbage Out).


Heshima Mbele.
 
Mizozo.
Unapofanya uchambuzi wa hoja za mtu ni rahisi kufahamu mtu huyo ni mtu wa aina gani.Japokua si wakati wote lakini mara nyingi ni sahihi.
JMushi ana hasira!! Hasira zake ni zile Hasira za kusikia mwizi mwizi!! ukarusha mawe kumbe umempiga baba yako...hii isitafsiriwe moja kwa moja.Mimi siku zote nimekua mtu nisiyekubaliana na mwazo ya JMushi humu ndani niseme wazi.Ana Idea yake ambayo kila Mara anaiita Plan B.Yeye hajawahi kushika zaidi ya Visu vya kulia mkate na Uma anazungumzia kuingia msituni.Hafikirii kumalizia shule yake huko asomapo ili imjenge na kuwa na mawazo ya kidemokrasia ameshikilia maamuzi ya Hasira.

Kuhusu kuwa na post nyingi na kujiuliza maswali na kisha kujijibu mwenyewe na kisha kujiuliza tena! ni ka tabia kake.Watu wameshasema wamechoka.

Ndugu Mizozo.Angalia sana ndani ya maandishi ya mtu nakushauri tena,Utamuona mtu mwenyewe.Ukishamuona kung'uta mavumbi ya miguu kisha songa mbele ukate ishuz!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…