- Mkuu Great Thinker ninatakiwa kujibu nini hasa hapa chenye masilahi ya taifa? Unasema ananga'anga'nia bungeni maana yake ni nini sasa na wewe kwa nini unalilia vijana waende huko kwani kuna nini hasa? yale yale!
- Great Thinker unasema sasa unatka Tanzania tuwe na sheria za wazee kurithisha wanaowataka na waamue nani achukue viti vyao vya uongozi? WoooW! Hivi kweli ninakusoma sawa sawa?
- Yaani kweli unasema Tanzania as a nation tunahitaji kusubiri nani Malecela anam-trust na nani ham-trust? Really?
- Ha! ha! Great Thinker sasa anataka taifa liongozwe na madua ya kuku na Sheikh Yahaya, inasikitisha sana mkuu unasema hizi ndio ziwe policy za taifa on viongozi wazee na vijana?
- Wananchi wa jimbo la Mtera ndio wenye haki za kumuuliza amewafanyia nini, kwani sisi taifa ndio tunaomchagua kuwa mbunge? Wewe mwenyewe mwanzoni umekubali kwamba amefanya kazi nzuri halafu tena unauliza amefanya nini acheni emotions bila facts wakuu!
- Malecela anachumiaje tumboni wakati anatunzwa na serikali mpaka mwisho wa maisha yake kutokana na mujibu wa katiba ya jamhuri? Hoja za kulisaidia taifa na ishu ya vijana na wazee inawapa taabu sana wakuu!
- I mean siwezi kuendelea kujibu hizi nyepesi nyepesi, kukiwa na hoja nzito ni-PM mkuu sasa naomba kupumzika, maana sasa tutaongoza vipi taifa na hoja za kuombea yamkute kama ya Spika, that is all youe case against Malecela? A Great Thinker? I mean hapa sasa you wonder nani ni mzee na kijana! I am out maana siwezi kujadili none-ishu isiyo na masilahi ya taifa, badala yake Malecela! Malecela! malecela! Bwa! ha! ha! inachekesha sana! Badala ya wkenda kuchukua fomu umtoe wewe unaombea wengine wamtoe kama Spika, na unatka hiyo iwe policy ya taifa! pole sana mkuu!
es!