William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Tatizo wazee wakishafikia umri fulani wanasinzia sana.
Wakati mwingine inabidi tu kucheka ..!! Huyu mzee ni mlafi kabisa.. Nyerere aliyagundua yote hayo..Japo Baba wa Taifa alikuwa na udhaifu wake lakini aliweza kuitambua kebineti yake na kumkataa huyu mzee..Naunga mkono UNABII WAKE..!!
Na si siri hata udhaifu wa Rais wetu Baba wa Taifa alishauona mapema sana pia.Kama tutaweza kumkumbuka Baba Nyerere ni kwa hivi vioja tunavyo viona kwa sasa..!!!
- Sasa kusinzia na uongozi vinakutana wapi mkuu? Tena hata wewe msomi wa dunia? Damn! Hawa ni kama kobe tu wanatunga sheria au wanatafakari hoja!
Respect.
FMes!
Kusinzia na uongozi haiendani, si unaona hapo wenzao wanapitisha resolutions wao wanasinzia, watu wanaweza kupitisha resolution kuvamia nchi yako huku umesinzia.
Senator Byrd angesema "Shame, shame".
Kwangu mimi tuwe au tusiwe na term limit hakuna tofauti, kwa sababu wananchi hawajaelimishwa kuwa independent thinkers. Hata tukiwa na term limits halafu wazee wakaanza kuwarithisha watoto wao viti huku wao wakiwa wanatumia remote control tutakuwa tumefanya nini?
Tunahitaji mabadiliko makubwa na yaliyo deeper zaidi ya term limits.kwa mfano kuna kitu kimesemwa katika debate ya Mnyika na Nnauye nacho ni ability ya wananchi kuwa recall wabunge mid term kama wabunge hawaja deliver au wamefanya vitu vya aibu (Gray Davis style).Tunaweza kuondoa influence ya executive over legislation, tunaweza ku clean the entire electoral process kutoka system ya sasa ambapo wakubwa wananunua tu kura etc etc.
- Hoja ingekwua na nguvu kama Mwalimu aliona udhaifu wa Malecela, lakini akaona ushujaa wa Mkapa ambaye matokeo tumeyaona, unajua huwezi kusema hivyo maana facts zitakusuta,
- Sasa wengine tunabaki tunajiuliza hivi wale 70% aliowasema Kikwete ni kina nani hasa? maana sitaki kuamini kwamba wengine wapo hapa kwenye uwanja wa Great Thinkers, au? Bwa! ha! ha! ha! jamani siasa ni professional na kipaji sio kwa sababu unaweza kuchapa keyboard basi na wewe unajua siasa!
- Wakuu hebu wekeni hoja hapa kwa nini wazee hawafai na vijana kama kina Serukamba na Ngeleja wanafaa tumechoka na Mwalimu blah! blah1 blah!
Es!
- Hoja ingekwua na nguvu kama Mwalimu aliona udhaifu wa Malecela, lakini akaona ushujaa wa Mkapa ambaye matokeo tumeyaona, unajua huwezi kusema hivyo maana facts zitakusuta,
- Sasa wengine tunabaki tunajiuliza hivi wale 70% aliowasema Kikwete ni kina nani hasa? maana sitaki kuamini kwamba wengine wapo hapa kwenye uwanja wa Great Thinkers, au? Bwa! ha! ha! ha! jamani siasa ni professional na kipaji sio kwa sababu unaweza kuchapa keyboard basi na wewe unajua siasa!
- Wakuu hebu wekeni hoja hapa kwa nini wazee hawafai na vijana kama kina Serukamba na Ngeleja wanafaa tumechoka na Mwalimu blah! blah1 blah!
Es!
Mkuu,
Spendi hoja ya kubagua watu kwa umri, dini, wala rangi etc... nafikiri hoja iwe matendo na kazi zao katika jamii wanayoongoza Hata hivyo malecela amekuwa mbunge muda mrefu, amekuwa waziri mkuu, etc..ameshaonyesha uwezo na nafasi alizoshika muda wote huo anahitaji kufanya reflections..apumzike atoe ushauri..Je kipi hasa anachong'ang'ania huko bungeni? tuseme hana uwezo wa kuwa mshauri na kufanya kazi zingine?
- Great Thinker unasema sasa unatka Tanzania tuwe na sheria za wazee kurithisha wanaowataka na waamue nani achukue viti vyao vya uongozi? WoooW! Hivi kweli ninakusoma sawa sawa?Tabia yake hii inaonyesha mambo mawili
a) Hana uwezo wa kuandaa viongozi wenye kumsaidia katika mambo anayoaamini, hata kumuweka mbunge wenye kufuata nyao zake kama zipo...!
- Yaani kweli unasema Tanzania as a nation tunahitaji kusubiri nani Malecela anam-trust na nani ham-trust? Really?b) Haamini mtu yeyote zaidi ya yeye mwenyewe..if you trust nobody then you worth no trust to anybody! ndio maana nami niko sceptical sana na huyu mzee!
- Ha! ha! Great Thinker sasa anataka taifa liongozwe na madua ya kuku na Sheikh Yahaya, inasikitisha sana mkuu unasema hizi ndio ziwe policy za taifa on viongozi wazee na vijana?c) Ni mbishi asiyefahamu na kusoma alama za wakati naomba yamkute ya msekwa na uspika, nafikiri kuna siku ataibishwa tu..time will tell!
- Wananchi wa jimbo la Mtera ndio wenye haki za kumuuliza amewafanyia nini, kwani sisi taifa ndio tunaomchagua kuwa mbunge? Wewe mwenyewe mwanzoni umekubali kwamba amefanya kazi nzuri halafu tena unauliza amefanya nini acheni emotions bila facts wakuu!d) Zaidi tuambie yeye kafanya nini kuliko kuuliza vijana wenye miaka mitano bungeni wamefanya nini? in fact wanaotakiwa kutuambia wamefanya nini miaka yote ni kama JM kwasababu dhamana tuliyompa wananchi ni kubwa na muda mrefu kafanya nini worth mentioning??? au mchumia tumbo tuu!
- Sasa haya ni mawazo ya Great Thinker! ya kumtukuza shoga Lennox kwamba ndiye role model wako, sasa awe na kwetu wengine wote inatia hata kinyaaa, yaani ni kukurupuka tu mradi kusema tu!
Es!
Mgonjwa wa fungus ya kwenye kidole cha mguu na mgonjwa wa Cancel ya utumbo mwembamba wote ni wagonjwa Lakini case zao zinatofautiana.
Kwa fikira zisizo za Keyboard usingeweza kumfananisha mzee Malecela na Mkapa hata kidogo kwani udhaifu wake ulisha onekana mapema pindi alipo kuwa Waziri Mkuu.
Swala la kutaka kuamini au kutokuamini si muhimu sana endapo utakubaliana na ukweli..Sina uhakika sana kabisa na hizo professional na Kipaji unaziongelea ikimaanisha ni nani mwenye uwezo huo..
- Pumba tupu what this has to do na kulisaidia taifa? Malecela ni baba yako mkuu naona kuna baba baba nyingi sana, ndio maana ninasema watse of time hata kujibu, CCM ilizaliwa Mtera tokalini hata historia hujui mkuu!Kama tutaamua kumwita baba kwasababu katuzaa na tukasahau kwamba bado alikuwa na majukumu ya kutulea kama baba basi sidhani kama ana ustahili ubaba.Wakati wa kusifu ujinga na wakati wa kulindana kijinga kijinga kwasababu sijui CCM ilizaliwa kijijini kwenu au kwasababu yeye ni mwanzilishi wa chama ulishapitwa na wakati.
- Great Thinker anataka kuongoza taifa kwa kutumia njia za kawaida! masikini wa Mungu, kwa kawaida sio kwa utafiiti wa kisayansi, ila kwa kawaida! Bwa! ha! ha!Kwa maisha ya kawaida ya Kitanzania Umri wa kuanzia miaka 70 kwenda juu ni umri wa kupumzisha mwili na akili ..Hakuna sababu yoyote ya kutumia udhaifu wa watanzania wa kutokuzielewa haki zao kama kigezo cha kujiweka madarakani na kuwa nyonya kila kukicha ..
- Bwa! ha! tuache apumzike maana mchango wake kwa Mtera sio kwa watanzania wote, jamani hivi JF kumetokea nini hasa na hii Great Thinking? Unataka Malecela awe kama Lennox sasa hebu taja girlfriend mmoja wa Lennox au mke wake anaitwa nani mkuu? Bwa! ha! ha!Mkuu Mwache mzee apumzike.. Kama ana mchango kwa wana Mtera si kwa watanzania wote.. Na tukumbuke hizo per diem yake haitoki Mtera tu.
Mkuu kwanza utambue kwamba HATA SHOGA NI BINADAMU NA ANA HAKI NA UWEZO WAKUTAMBUA KAMA WEWE AU ZAIDI YAKO..
Mtu anatukuzwa kwa busara za kuwapisha wengine kwenye nafasi aliyopo akigundua kwamba wapo wengine wenye uwezo wa kushika nafasi ile na si kwasababu ya USHOGA..!.
Nadhani tunatofautiana kimawazo.. Mifano haichagui mtoto ,Umri ,professional wala utaifa. My role model ni busara katika kufikiri na kuamua.. Great Thinker yako wewe ni Mzee aendelee kuwa madarakani !!
Hahaaa...Mkuu labda tu uelewe kwamba huwa si kurupuki.Bali huwa sikubaliani na ujinga.!!!
Please siwezi kushusha hadhi yangu kujadili hizi pumba, kwa heri mkuu!
Es
Duh!- Mkuu Great Thinker ninatakiwa kujibu nini hasa hapa chenye masilahi ya taifa? Unasema ananga'anga'nia bungeni maana yake ni nini sasa na wewe kwa nini unalilia vijana waende huko kwani kuna nini hasa? yale yale!
- Great Thinker unasema sasa unatka Tanzania tuwe na sheria za wazee kurithisha wanaowataka na waamue nani achukue viti vyao vya uongozi? WoooW! Hivi kweli ninakusoma sawa sawa?
- Yaani kweli unasema Tanzania as a nation tunahitaji kusubiri nani Malecela anam-trust na nani ham-trust? Really?
- Ha! ha! Great Thinker sasa anataka taifa liongozwe na madua ya kuku na Sheikh Yahaya, inasikitisha sana mkuu unasema hizi ndio ziwe policy za taifa on viongozi wazee na vijana?
- Wananchi wa jimbo la Mtera ndio wenye haki za kumuuliza amewafanyia nini, kwani sisi taifa ndio tunaomchagua kuwa mbunge? Wewe mwenyewe mwanzoni umekubali kwamba amefanya kazi nzuri halafu tena unauliza amefanya nini acheni emotions bila facts wakuu!
- Malecela anachumiaje tumboni wakati anatunzwa na serikali mpaka mwisho wa maisha yake kutokana na mujibu wa katiba ya jamhuri? Hoja za kulisaidia taifa na ishu ya vijana na wazee inawapa taabu sana wakuu!
- I mean siwezi kuendelea kujibu hizi nyepesi nyepesi, kukiwa na hoja nzito ni-PM mkuu sasa naomba kupumzika, maana sasa tutaongoza vipi taifa na hoja za kuombea yamkute kama ya Spika, that is all youe case against Malecela? A Great Thinker? I mean hapa sasa you wonder nani ni mzee na kijana! I am out maana siwezi kujadili none-ishu isiyo na masilahi ya taifa, badala yake Malecela! Malecela! malecela! Bwa! ha! ha! inachekesha sana! Badala ya wkenda kuchukua fomu umtoe wewe unaombea wengine wamtoe kama Spika, na unatka hiyo iwe policy ya taifa! pole sana mkuu!
es!
- Sasa hata shoga ni binadam lakini mzee kama Malecela sio binadam, mkuu naomba kupumzika maana nitashuka hadhi sana na this kind of mijadala endelea na wengine, lazima Kikwete alipitia hapa kabla ya kusema ile kitu yake ya 70%!
es!
.- Sasa haya ni mawazo ya Great Thinker! ya kumtukuza shoga Lennox kwamba ndiye role model wako, sasa awe na kwetu wengine wote inatia hata kinyaaa, yaani ni kukurupuka tu mradi kusema tu!
Es!