Malecture wa chuo Bwana wanapenda

Malecture wa chuo Bwana wanapenda

wengi wawanao megwa wanakuwa wamejiweka katika mazingira ya kumegwa. Unakuta msichana anajipendekeza kwa lecturer vinguo vya ajabu haishi kwenda ofisini sasa wewe wategemea nini hapo.
Mimi nina mifano mingi tu..
 
wala hili halina uthibitisho; wote tumesoma vyuo vikuu na kuona jinsi wasichana au wake zetu wanavyolazimisha ngono wenyewe kwa walimu hawa! Kama wanliwa basi n kwa sababu ya umala wao na sio kwa sababu atakamatwa! Fanya utafiti vizuri uone jinsi walimu wa vyuo wanvyopata shida kuzikimbia ngono za wanavyuo hawa

Naunga mkono hoja yako enzi hizo nipo Chuo huu utaratibu ulikuwepo sana baadhi ya malekchala na Tutorial Assistants walikuwa wakigoma kutona namba zao za simu he he he he
 
hizo ishu za ungwinini, coet hakuna mda wa kupiga story na malecturer. coz coet cozweki sio ishu, we komaa na UE utoke kivyako.
kimsing madem wanajilengesha wenyewe kwa kutaka mtelemko kupata mabanda, sas kama mzuri kwa nin asikubandue! unadhani yeye sio mjinga!?
 
Mkuu usilete habari za kufikirika hapa, wengine wake zetu wako vyuoni ni wanafunzi, sasa usitufanye tukapata presha bure.

Well said kaka. Asitunyime usingizi wenzie maana wake zetu wako huko.
 
malecturer walishashindikana siku nyingi wanapaswa tu kupigiwa vote of no confidence kama wanafunzi watasign ikiwa kama ile ya bunge nayo tutabaki tu mweee tunakodoa macho tutabaki tunamlaumu tu makamba hakusign kumbe mnafiki tu kama wengine
 
Haya mambo yapo tusijifanya kwamba hayapo,hata kama wengine mnasema kwamba wake zetu wapo vyuoni kwa hiyo tutajitia pressure ndio ukweli wenyewe.Wanawake ni mama,wake,dada zetu lakini kuna mambo mengine huwa wanafanya yanatia kichefu chefu,kwa mfano enzi zetu za JKT wadada walikuwa wanauza utu kwa kutaka shushi tu au mistini ya wali jioni.Ni ajabu na kweli believe me
 
Ukiona lecture kafanya hivyo ujue umekutana na gumegume

cbe dar yupo mmoja huwa anawaambia wanafunzi wake wasome maana akikamata kichwa mtu asimfute akamwomba amsaidie maana na yeye atamwomba kitu ambacho ataogopa kwenda hata kumsimulia mwenzake.
 
Daaaah basi tena hizi presha zitaisha kweli huu mwaka.MUNGU WATANGULIE WAKE ZETU HUKO MAVYUONI..
 
Huyu Kikombe kinafurika huyu.....naona kikombe chake kinafurika mawazo potofu tu...hakua msichana atakayeenda chuo na akili zake timamu akasoma kwa bidii akafaulu kisha akafelishwa makusudi na lecturer...we kikombe na mwenzio acheni kuendekeza starehe
 
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, hata wewe kwa position yako wako unawaobana waachie mambo.
 
Back
Top Bottom