Kikombe kinafurika
Member
- Mar 2, 2012
- 65
- 2
- Thread starter
-
- #21
wala hili halina uthibitisho; wote tumesoma vyuo vikuu na kuona jinsi wasichana au wake zetu wanavyolazimisha ngono wenyewe kwa walimu hawa! Kama wanliwa basi n kwa sababu ya umala wao na sio kwa sababu atakamatwa! Fanya utafiti vizuri uone jinsi walimu wa vyuo wanvyopata shida kuzikimbia ngono za wanavyuo hawa
Mkuu usilete habari za kufikirika hapa, wengine wake zetu wako vyuoni ni wanafunzi, sasa usitufanye tukapata presha bure.
Yaan mkuu hii ni live bila chenga, tena wake za watu ndo wanavua kabisa wanavua hadi pete za ndoa ili ..........
Mkuu usilete habari za kufikirika hapa, wengine wake zetu wako vyuoni ni wanafunzi, sasa usitufanye tukapata presha bure.
Jsaudi mwamin mkeo mweshimiwa
Ukiona lecture kafanya hivyo ujue umekutana na gumegume
Billie cha msingi na nyie mcwaibie huko majumbani, mkiwaibia na nyie mtaibiwa tu huko mavyuoni.