Malecture wa chuo Bwana wanapenda

Yaan mkuu hii ni live bila chenga, tena wake za watu ndo wanavua kabisa wanavua hadi pete za ndoa ili ..........
I see, wake za watu wengi wanasoma ni watu wazima, hawana uwezo darasani, kwa hiyo wanaamua kutumia strategy ya kutembea na malecturer ili angalau wapate marks za nyongeza. NI kweli wake za watu wanatufunwa kushinda hata hao wasio wake za watu, na tatizo ni kwamba wanajipeleka wenyewe. Lakini kunambia kwamba eti lecturer anakusapisha au kukucarisha kisa umemnyima ngono, hilo sikubaliani kabisa. Otherwise unambie huyo mwanamke ni zezeta wa kutupwa. Kitu rahisi kama hicho anashindwa nini kumtega huyo lecturer? Hawezi kumwomba namba ya simu halafu aendeleza hayo mawasiliano ya kuomba ngono kwa njia ya sms? Au hawezi kutafuta digital recorder au hata akatumia simu kurecord mazungumzo na kuyapeleka utawala. Kulingana na sheria za chuo, kosa kama hili likithibitika tu, huwa hakuna mjadala. Ni off you go. Uwe ni professor au mtu mhimu namna gani, unaondoka. Huyo anayeleta story hizi bila shaka na yeye anapenda hako kamchezo. Not otherwise.
 
Nakumbuka UDSM enzi za Punch na habari za kina Dada ambao walliowapa Malecture na wlipata Degree na walikuja kuwa Viongozi Serikalini huko JKT usiseme Chuo huwa tunamtuma kabisa mwanamke amvae tutor arodeshe au la tupate paper
 



sema veta wewe...mbona unataka kuleta ubagzi..ushaambiwa universities wewe wa veta umetoka wapi humu jf
 
Yaan mkuu hii ni live bila chenga, tena wake za watu ndo wanavua kabisa wanavua hadi pete za ndoa ili ..........

wake za watu ndo ovyo kabisa. Hata kijamaa tu cha ajabu kinagonga ilimradi kimuhakikishie kukaa karibu naye wakati wa pepa. Nilimis hivi vitu kwani md tulikuwa tunagandwa na fresh wenzetu,ila jamaa waliokuwa wanasoma nursing walikuwa wanafaidi yale mamama
 
Na wanafunzi wa kiume wanatakiwa kutoa nini if that is the case? Acha kutoa sweeping statement hapa!

Mkuu hii mambo ipo sana vyuoni hata kama utakuwa mgumu kuamini.
Kuna mdada mmoja alikuwa rafiki yangu wakati tupo chuo supprisingly hatukugraduate pamoja...guess what? alikuwa na bf wake ambaye kulikuwa na lectrurer(msichana) ambaye alikuwa anamtaka but jamaa alikuwa na msimamo sana.
Lectrurer akatafuta kinachompa jeuri huyo jamaa....baada ya kumgundua kwamba huyu jamaa ana gf ambaye alikuwa anamfundisha basi alimpa sup ya semister ya mwisho demu akashindwa kugraduate...msidharau hayo mambo yapo sana.
 

Truly, I can believe you! I saw it with my open eyes!
 

Hiyo ni ya bure kabisa, wala sio ya kutongoza.
 
Tatizo si la malecturer bali wanavyuo wenyewe. Wengi ni wavivu hawasomi inapofikia mambo yanakuwa magumu wanaona ni bora wajisalimishe ili wasaidiwe. Muhimu wanachuo wajue kilichowapeleka chuo ni nini?

Hapo umesema kweli, imagine, mwalimu wa kiume atamkamataje mwanamke mweye uwezo?
Si unajua huko mbele atadhirika.
 
malecturer walishashindikana siku nyingi wanapaswa tu kupigiwa vote of no confidence kama wanafunzi watasign ikiwa kama ile ya bunge nayo tutabaki tu mweee tunakodoa macho tutabaki tunamlaumu tu makamba hakusign kumbe mnafiki tu kama wengine

Mkuu sio wote!
Ila kuna wasichana wanajilegeza sana, na kumbuka ma lecturer ni wanaume pia.....
Na jinsi wanasichana wanavyowaka, majaribu 700%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…