Malengo 2017

Malengo 2017

GREAT NAME

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
1,078
Reaction score
1,718
Kwanza ningependa niwape heri ya mwaka mpya wote tuliovuka mwaka salmin salama,
binafsi malengo yangu mwaka huu ni kumiliki bilion 300,japo saa hii niko na 200 tu nayo ipo kwa m-pesa lakini kwa imani MUNGU atanisaidia kufikia lengo,
mwanajamii mwenzangu una malengo gani mwaka huu?
 
Kuna mwenzio hapa wiki ya pili hii anadai nikamtolee M-Pesa Laptop yake alotumiwa Amazon.

Mpo wengi

So usijali!
 
Back
Top Bottom