Malengo maovu ya wakubwa wa dunia

Malengo maovu ya wakubwa wa dunia

Kwahiyo basi,anefanya yote haya ni shetani,hawa wengine ni vibaraka tu?
Ndio huyo wanayempigania usiku na mchana. Ndio maana ya pyramid ya illuminati kuwa haijatimia kwenye kilele chake. Hapo juu kabisa anasubiriwa yeye.

Screen Shot 2021-09-07 at 12.38.25 PM.png
 
So hata hizi chanzo za corona ni zao lao basi.
Kuwa pia unazungumzia kutoweza kuuza wala kununua bila kuwa na chapa ya mnyama?
Bila shaka kabisa. Kesho ndio nitaeleza kuhusu mipango ya bili gate. Lakini unaweza kutafuta tu mtandaoni WO2020060606 utaona jambo hilo. Nitafafanua kesho tukijaliwa uzima.
 
Kwahyo hii chanjo haina madhara?
Hii sio chanjo ndio maana wengine tunaikataa. Watu wanalemaa, wanakufa wengi ulaya na marekani lakini wanaendelea kulazimisha tu watu wa chanjwe. Wanachoficha ni nini kama si nia mbaya?
 
Na wanataka kuipeleka dunia katika eneo ambalo mwanadamu ataondokewa Ile tunaita Ustaharabu wa kijamii.kuiondoa thamani mwanadam ndipo wengi watatafuta wapi watapata msaada na ndiyo njia ambayo italeta tamaa kwenye mioyo ya wanadamu kutamani kiongozi mmoja duniani. Ili watimize malengo ya Uasi wao duniani. Usiku umeendea na mchana nao umekaribia sana
 
Kuna kaukweli katika huu uzi ila pia chumvi nyingi kimtindo, ila za kuambiwa wakati mwingine unatakiwa uchanganye na za kwako
 
Hii sio chanjo ndio maana wengine tunaikataa. Watu wanalemaa, wanakufa wengi ulaya na marekani lakini wanaendelea kulazimisha tu watu wa chanjwe. Wanachoficha ni nini kama si nia mbaya?
Sikatai kila kitu kina madhara yake ila nataka nijue tuu una takwimu za watu kufa wengi kwa ajili ya hii chanjo? Na takwimu za vilema je?
 
Video inaposema TUNA.... ni akina nani hao?
Huyo ni Mungu yuleyule aliyesema kwenye kitabu cha mwanzo, (na tumuumbe mtu kwa sura na mfano wetu akatawale kila chenye uhai)

Akaendelea kusema katika kitabu cha mwanzo 3 mstari wa 22-24, (Kisha Yehova Mungu akasema: “Tazama mtu huyu amekuwa kama sisi kwa kujua mema na mabaya. Sasa ili asiunyooshe mkono wake na kuchukua pia matunda kutoka katika mti wa uzima, naye ale na kuishi milele,—” 23 Ndipo Yehova Mungu akamfukuza kutoka katika bustani ya Edeni+ ili ailime ardhi ambamo alikuwa ametolewa.
24 Basi akamfukuza mtu huyo, akaweka upande wa mashariki wa bustani ya Edeni makerubi na upanga unaowaka uliokuwa ukizunguka mfululizo ili kuilinda njia ya kwenda kwenye mti wa uzima.)

Pia katika kipindi cha Babilon, Mungu huyohuyo akasema tena namnukuu (tazama hawa wamekuwa wamoja na kila watakalokusudia hawatashindwa. Na tushuke huko tukawaharibie usemi.)

Wanadamu tulio wengi tunapigwa danadana tangu mababu zetu hadi leo na hatuna wa kututetea... Maisha ni gereza ambalo ukomo wake ni kifo
 
Kwa hapa sio Mungu Kijana wa jana Ni hawa waovu ndio wanasema hivyo. Kwa hiyo swali langu linamaanisha WAO NI AKINA NANI ambao wanasema waondoa tatizo la dunia kuzidiwa na watu?
 
Hata wakati huo ungekuwepo ungekuwa na mtazamo ulio nao sasa... Watoto wa karne nyingi zijazo hawatofundishwa kwamba ulikuwa ni mpango wa wanadamu wachache wakishirikiana na baadhi ya vitu vingine kwenye ulimwengu bali wataambiwa Mungu ndio alisema haya maneno uliyonukuu kutoka kwa hiyo video.

Wanapanga anachopaswa kufundishwa na kukiamini mtoto wa karne za baadae
 
Back
Top Bottom