Malengo maovu ya wakubwa wa dunia

Mkubwa Teleskopu umeandika kwa kifupi mno kiasi sijashiba bado halafu kama vipi leta uzi wa kuifafanua ile hotuba ya Putin aliyoitoa juzi wakati anahitimisha annexation ya ile mikoa minne ya Ukraine, naona ameongelea matukio mengi ya ajabu ajabu na kajaribu mpaka kunukuu biblia.Alifikia hatua ya mpaka kusema kuwa wamagharibi wanawachukulia wàrusi kama watumwa wa kiroho.Tafadhali sana leta uzi mrefu sana kuzungumzia hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…