Abatmwe
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 110
- 79
Wanajamvi naomba tushirikiane na tupeane ushauri nn cha kufanya mwaka huu: Kwa kifupi mi ni mwajiriwa na mshahara wangu unakaribia mil 2 ila malengo niliyojiwekea ni kama ifuatavyo:
1. Nataka kumalizia nyumba niliyoanza kuijenga mpaka mwisho wa mwaka huu niwe nishaamia
2. Nafikiria kuanzisha biashara ila bado nipo kwenye mchakato kujua biashara gani(unaweza kutoa ushauri wa aina ya biashara nitakayoweza fanya pia nitashukuru)- Kama nikifanikiwa nataka mpaka katikati ya mwaka 2020 niache kazi na nijikite tu kwenye biashara
3. Lengo la tatu nataka kwenda kusomea mambo ya mobile softwares, naona kuna changamoto sana kwa wataalamu wa software za simu haswa pale kariakoo, wengi ni wababaishaji sana, mie ni mtaalam wa mambo ya electronics(Degree holder) na nimebobea sana kwenye telekom, kwa elimu nilokuwa nayo naona itakuwa rahisi kuwa mtaalamu wa software za simu
4. Naomba na ushauri kama kuna nyongeza
Sent using Jamii Forums mobile app