Malengo ya Mwaka 2019

Malengo ya Mwaka 2019

Abatmwe

Senior Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
110
Reaction score
79
Wanajamvi naomba tushirikiane na tupeane ushauri nn cha kufanya mwaka huu: Kwa kifupi mi ni mwajiriwa na mshahara wangu unakaribia mil 2 ila malengo niliyojiwekea ni kama ifuatavyo:

1. Nataka kumalizia nyumba niliyoanza kuijenga mpaka mwisho wa mwaka huu niwe nishaamia

2. Nafikiria kuanzisha biashara ila bado nipo kwenye mchakato kujua biashara gani(unaweza kutoa ushauri wa aina ya biashara nitakayoweza fanya pia nitashukuru)- Kama nikifanikiwa nataka mpaka katikati ya mwaka 2020 niache kazi na nijikite tu kwenye biashara

3. Lengo la tatu nataka kwenda kusomea mambo ya mobile softwares, naona kuna changamoto sana kwa wataalamu wa software za simu haswa pale kariakoo, wengi ni wababaishaji sana, mie ni mtaalam wa mambo ya electronics(Degree holder) na nimebobea sana kwenye telekom, kwa elimu nilokuwa nayo naona itakuwa rahisi kuwa mtaalamu wa software za simu

4. Naomba na ushauri kama kuna nyongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hueleweki mkuu?
Umesema unataka kuwekeza kwenye biashara katikati ya 2020 but hujui aina ya biashara then hapohapo unasema unataka kuwekeza kwenye ufundi wa software mana kariakoo mafundi wengi ni wababaishaji sasa huoni kama unajiuliza swali na kujijibu mwenyewe au mipango yako ni ya kutunga ndio mana unajikanyagakanyaga?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapopanga mipango inabidi uwe na action plan ndipo hapo itakusaidia kujua kama mpango unatekerezeka au lah. Kwa mfano umepanga kumalizia nyumba na kuhamia je utatumia njia gani kupata kipato ili umalizie hiyo nyumba je utafanya savings na kwa kiasi gani kila mwezi au utachukua mkopo na je umeshajua kiasi gani cha makadirio ya gharama za ujenzi yaliyobaki na hela unazopanga kutumia zitatoshelezaje

Ukifanya hivyo utaweza kupanga vizuri mipango yako na sio kujiwekea tu malengo ambayo baadae unashindwa kuyatekereza kwa kukosa action plan ya kuyatekereza.

Pia usiweke mipango mingi ambayo baadae itakuchanganya kutokana na ufinyu wa rasilimali fedha
 
Kazi nzuri Kiongozi,

2019 ni mwaka Mzuri kiukweli, mafanikio na maisha mazuri yapo nje-nje
Mambo ya Kuzingatia ni pamoja na
1. Kuweka mono (Objectives)
2. Kuchapa kazi KWA bidii
3. Kuto kata tamaa
4. Kujiamini
5. Kutembelea Maono, mara KWA Mara (reviewing objectives)

Wanasema, pasipo maono watu wanaangamia. Maana yake, pasipo ramani (maono) ni ngumu kujua kama tunaelekea kule tunapaswa kuelekea.

KWA Ushauri WA kibiashara na Mengineyo mengi halo chini, wasiliana nasi

* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
 
Mbona hueleweki mkuu?
Umesema unataka kuwekeza kwenye biashara katikati ya 2020 but hujui aina ya biashara then hapohapo unasema unataka kuwekeza kwenye ufundi wa software mana kariakoo mafundi wengi ni wababaishaji sasa huoni kama unajiuliza swali na kujijibu mwenyewe au mipango yako ni ya kutunga ndio mana unajikanyagakanyaga?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa, lengo kuu ni kufanya biashara ila ikishindikana inabidi nikasome tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapopanga mipango inabidi uwe na action plan ndipo hapo itakusaidia kujua kama mpango unatekerezeka au lah. Kwa mfano umepanga kumalizia nyumba na kuhamia je utatumia njia gani kupata kipato ili umalizie hiyo nyumba je utafanya savings na kwa kiasi gani kila mwezi au utachukua mkopo na je umeshajua kiasi gani cha makadirio ya gharama za ujenzi yaliyobaki na hela unazopanga kutumia zitatoshelezaje

Ukifanya hivyo utaweza kupanga vizuri mipango yako na sio kujiwekea tu malengo ambayo baadae unashindwa kuyatekereza kwa kukosa action plan ya kuyatekereza.

Pia usiweke mipango mingi ambayo baadae itakuchanganya kutokana na ufinyu wa rasilimali fedha
Asante mkuu kwa ufafanuzi ila kikubwa nataka angalau kwa miezi mitatu niwe nimeshafanya saving ya mil 3 nimalizie nyumba, kwenye biashara nina chance ya kukopa na kuinvest uko, kwa kuanzia naweza pata 10m kwa ajili ya biashara

Kwa kifupi nyumba imebaki milango tu, na kuingiza umeme ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi nzuri Kiongozi,

2019 ni mwaka Mzuri kiukweli, mafanikio na maisha mazuri y'all nje-nje
Mambo ya Kuzingatia ni pamoja na
1. Kuweka mono (Objectives)
2. Kuchapa kazi KWA bidii
3. Kuto kata tamaa
4. Kujiamini
5. Kutembelea Maono, mara KWA Mara (reviewing objectives)

Wanasema, pasipo maono watu wanaangamia. Maana yake bola ramani (maono) ni ngumu kujua kama tunaelekea kule tunapaswa kuelekea.

KWA Ushauri WA kibiashara na Mengineyo mengi halo chini, wasiliana nasi

* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
Shukurani kama, na save namba yako, kama nikifikia hatua ya kusoma nataka kufungua na kampuni kabisa japo kwa sasa ni milolongo mingi, najua nitawahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapopanga mipango inabidi uwe na action plan ndipo hapo itakusaidia kujua kama mpango unatekerezeka au lah. Kwa mfano umepanga kumalizia nyumba na kuhamia je utatumia njia gani kupata kipato ili umalizie hiyo nyumba je utafanya savings na kwa kiasi gani kila mwezi au utachukua mkopo na je umeshajua kiasi gani cha makadirio ya gharama za ujenzi yaliyobaki na hela unazopanga kutumia zitatoshelezaje

Ukifanya hivyo utaweza kupanga vizuri mipango yako na sio kujiwekea tu malengo ambayo baadae unashindwa kuyatekereza kwa kukosa action plan ya kuyatekereza.

Pia usiweke mipango mingi ambayo baadae itakuchanganya kutokana na ufinyu wa rasilimali fedha
Na akumbuke, any plan
1. Must be realistic
Siyo ya kufikirika…

2. Must be achievable
Iwe inafikia kwako

3. Must have time frame
Lazima ujipe muda, toka lini hadi lini uwe umefikia wapi

4. Must be challenging
Siyo unajipanga kununu pakti ya biskuti ifikapo February 2019.
 
Good point kaka, i will take note

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom