Badilisha ratiba anza kulala mapema na kuamka mapema saa 0500hrsLeo nimeamka saa1:54 (7:54am)
Hapo ndio office yke😂Hata sijaelewa,
Hicho kitanda ndo kitega uchumi chako ambacho kitaingiza hiyo 12m au .......!
Duuh saa 10 tena bora useme saa 11. Asee saa 10 mbali sanaUnachelewa sana mkuu, muda mzuri wa kuamka na akili iweze kuwa active mwanzo wa siku yako ni walau kuanzia saa 10 alfajiri, unaamka saa mbili kasoro asubuhi fahamu umeshapitwa na mengi, hata riziki pia
Mbona mapema tu?Leo nimeamka saa1:54 (7:54am)
Kuamka saa 10 huku huna cha kufanya nayo haina maana. Amka hata saa 2 lakini ukienda kazini unakuwa bize ile hatari hata masaa 6 tayari unakuwa umefanya kitu. Watu wengi huamka mapema kuwahi kazini ila wakifika ndo stori na kupoteza poteza muda hadi masaa ya kufunga ofisi yanafika wanarudi home. Pia kuamka mapema inategemeana na kulala mapema. Wengine mida ya usiku ndo wako bize na wana utulivu wa kutosha kufanya mambo.Unachelewa sana mkuu, muda mzuri wa kuamka na akili iweze kuwa active mwanzo wa siku yako ni walau kuanzia saa 10 alfajiri, unaamka saa mbili kasoro asubuhi fahamu umeshapitwa na mengi, hata riziki pia
Kuamka saa 10 huku huna cha kufanya nayo haina maana. Amka hata saa 2 lakini ukienda kazini unakuwa bize ile hatari hata masaa 6 tayari unakuwa umefanya kitu. Watu wengi huamka mapema kuwahi kazini ila wakifika ndo stori na kupoteza poteza muda hadi masaa ya kufunga ofisi yanafika wanarudi home. Pia kuamka mapema inategemeana na kulala mapema. Wengine mida ya usiku ndo wako bize na wana utulivu wa kutosha kufanya mambo.
huu ushauri mzuriBadilisha ratiba anza kulala mapema na kuamka mapema saa 0500hrs
Ukiamka mapema alfajiri siku inakua nzuri sana, ukiamka saa 0700hrs siku nzima unakua kama umechoka, ndo hapo unaanza kuhairisha ratiba za siku na kusema ntafanya kesho.