Malengo ya mwaka huu ni kukusanya Tsh milioni 1w

Unachelewa sana mkuu, muda mzuri wa kuamka na akili iweze kuwa active mwanzo wa siku yako ni walau kuanzia saa 10 alfajiri, unaamka saa mbili kasoro asubuhi fahamu umeshapitwa na mengi, hata riziki pia
Kuamka saa 10 huku huna cha kufanya nayo haina maana. Amka hata saa 2 lakini ukienda kazini unakuwa bize ile hatari hata masaa 6 tayari unakuwa umefanya kitu. Watu wengi huamka mapema kuwahi kazini ila wakifika ndo stori na kupoteza poteza muda hadi masaa ya kufunga ofisi yanafika wanarudi home. Pia kuamka mapema inategemeana na kulala mapema. Wengine mida ya usiku ndo wako bize na wana utulivu wa kutosha kufanya mambo.
 
Bora niamke saa1
 
Badilisha ratiba anza kulala mapema na kuamka mapema saa 0500hrs
Ukiamka mapema alfajiri siku inakua nzuri sana, ukiamka saa 0700hrs siku nzima unakua kama umechoka, ndo hapo unaanza kuhairisha ratiba za siku na kusema ntafanya kesho.
huu ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom