Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hesabu zake kubwa sana, maisha yanatusuprise sana.Ahahahaha..mkuu wewe ni mkali wa logical maths.
Nilikua nawaza nachomokea pande gani kujua umri wake kamil wa sasa?? Hapa nilikua najiuliza sana hatimae nikakutana na hii concept.. bravoo bro.
Wadogo zetu hawa bwana
Ila what if kwasasa ana miaka 35 na mwanae ana miaka 13 already na 40 years kwake ni justb5 year ahead??
Imagine mtu hadi anasema nitakua na mtoto ke na me yaani unachagua tu kama maroboti unaagiza kwa Elon.