Malengo yangu nitakayoyatimiza nikifikisha miaka 40

22 ndio miaka ambayo nimempata mwanangu wa kwanza.

Now inawezekana nina miaka 37,hakuna pahala panapokuonesha umri wangu wa sasa hivi..
Malengo ni matarajio au mipango ya kufikia matokeo fulani au mabadiliko katika siku za usoni, ambayo yanahitaji juhudi au hatua za kuelekea kuboresha, kupata, au kubadilisha kitu kutoka hali ya sasa.

Hivyo kuondoa sintofahamu, malengo yangekuwa ni kuongeza idadi ya watoto, hapo msomaji angejua tayari una watoto, lakini ukiacha hivyo, ina maana kuwa vitu hivyo huna sasa.

Huwezi kuwa na kitu alafu useme unalengo la kuwa nacho, labda useme kufanyia maboresho/ukarabati au kuongeza kama hiko.
 
Ukiwa umeajiriwa au mfanyabiashara, utarudi umechoka hata kusimamia mifugo na bustani hutoweza. Majukumu ni mengi muda mchache
Inawezekana,
Sio lazima ufanye wewe-unaweza kuajiri mtu nyumbani wa hizo kazi.
Ila issue ya jirani--huna control nayo kabisa.
 
Kwa kweli mimi natamani siku moja nikamate lishangazi la jf. Nitafurahi.
 
Ni jambo jema sana Kama una mawazo ya hivyo
Sasa anza kukusanya hela sana kufikia malengo hayo na uwe na afya njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…