Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Huko kwingine walishaharibikaMornie morning Mshana Jr
Mada mezani ni globalization
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwingine walishaharibikaMornie morning Mshana Jr
Mada mezani ni globalization
1. Kwani kuna tatizo/madhara mtu asipo oa au olewa ?Good morning Tanganyika!
Nimeshindwa kuvumilia baada ya kuona ongezeko la mada za kupinga kuoa, ndoa na maisha ya ndoa! Jamii Forum ni kama kioo cha Taifa kwasasa. Think tank kubwa ya nchi nathubutu kusema iko humu JF, sasa kitu kinapotrend sana Jamii forum ni lazima upate picha ya kinachoendelea nchini.
Hili ongezeko la mada za kupinga, kukosoa, kukejeli ndoa na maisha ya ndoa si jambo zuri hata kidogo bali ni msiba kwa taifa zima! Kuna sumu mbaya wamelishwa vijana wetu na imewaingia barabara!
~ Kukataa ndoa ni kukataa kujikubali.
~ Ni kukataa kujitambua.
~ Ni kukataa majukumu.
~ Ni kukosa malezi sahihi.
~ Ni kukosa akili.
~ Ni kukosa hekima.
~ Ni kwenda kinyume na maagizo ya Mwenyezi Mungu (kwa waamini).
~ Ni kukosa upendo upeo na maono!
Tunataka kuunda Taifa gani bila ndoa?
~ Ndoa ndio chanzo cha familia.
~ Ndoa ni dalili njema ya ukomavu wa akili.
~ Ndoa ni msingi wa uwajibikaji kujali, amani, furaha na upendo.
~ Ndoa ni future, bila ndoa future haina maana sana.
~ Makuzi yasiyo sahihi.
~ Wazazi wasiojitambua.
~ Wazazi wasio na muda wala ukaribu na familia zao.
~ Utandawazi.
~ Elimu potofu mitandaoni juu ya dhana nzima ya ndoa na maisha yake ni visababishi vikubwa mno vya matokeo hasi wanayopata vijana kuhusu ndoa na wao bila kujitambua huyafanya hayo kama ndio uhalisia na kuja na mada za kila aina.
Kama maandiko ya misahafu ya kiimani yanawaasa wanaume waishi na wanawake kwa akili, tafsiri yake ni kwamba mkataa ndoa hana akili ndio maana hawezi kuishi maisha ya ndoa.
Ukomavu wa kiakili, maono na hekima hukufanya uitamani ndoa ili kujipima. Uwezo wako wa kumudu maisha ya ndoa. Utayari wako wa kuhudumia ndoa. Ujasiri wako wa kuyakabili magumu ya ndoa nk, nk.
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume kamili. Ndoa si kwa ajili ya wavulana!
Mjadala utaendelea.
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Usipooa utaolewa ndo utafute mwanamke sahihi sio kukurupuka halafu uje kulialia hapa.Asilimia kubwa ya nyie wanawake ni nyoka wenye roho mbaya sana, i wish ungekuwa mwanaume ungeelewa ninachoongea, nitaoa nikipata mwanamke sahihi, huku mm nkiendelea kujifanyia continuos self improvement ya kuwa mume sahihi Demi
Wasiooa ndio wanawabeza waliooa kuwa wanateseka. Hoja yao kubwa ndio hiyo yakuogopa kuteseka wanaogopa kuumizwa hisia zao. sasa huo ni utoto kuogopa kivuli chako mwenyeweNdoa ingekuwa ni kitu chema hivyo usingewabeza ambao hawataki kuoa. Nyie kuleni raha tuacheni sisi ambao hatujaoa tuendelee kuteseka. Au sio?
Hapo umeongea ukweli.Kuharibika kwa utamu wa ndoa mpaka kufikia vijana wengi wa kiume kuanza kuona ni upuuzi, kulianzia hapa "UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII NZIMA" na hatimae jamii imeelimika vya kutosha juu ya hao wanawake, pia kingine ni hapa "HAKI SAWA" haka notion kapo kwenye akili za wanawake na huwa wanaingia nako kwnye ndoa.
Nitakujibu kwa weledi1. Kwani kuna tatizo/madhara mtu asipo oa au olewa ?
2. Kwani ndoa ni swala la lazima au hiari ?
3. Umuhimu wa ndoa upo wapi ambao hawaja oa wana ukosa ?
Naomba mleta mada unipatie majawabu ya hayo maswali matatu ya mwanzo.
Hakuna madhara yoyote mkuu, pia ndoa ni suala la hiari hilo lipo wazi.1. Kwani kuna tatizo/madhara mtu asipo oa au olewa ?
2. Kwani ndoa ni swala la lazima au hiari ?
3. Umuhimu wa ndoa upo wapi ambao hawaja oa wana ukosa ?
Naomba mleta mada unipatie majawabu ya hayo maswali matatu ya mwanzo.
Ulicho sema ni kweli. Hizi kampeni za "kataa ndoa" sioni kama zina maana kwa upande wangu ila wenda zina maana kubwa kwa wale wanazo zitangaza kila uchwao na wana sababu zao za msingi za kufanya hivyo.Hakuna madhara yoyote mkuu, pia ndoa ni suala la hiari hilo lipo wazi.
Mtu aoe au kuolewa kwa matakwa yake bila kulazimishwa.
Asiyetaka kuoa ama kuolewa asishawishi wengine kufanya hivyo. Hii kampeni inawaharibu vijana wenye akili ndogo...tuwaache wafanye maamuzi yao binafsi.
Mkuu ningependa uni tenganishie majawabu kama ambavyo maswali yame kaa katika mtiririko, hivi ulivyo jibu hakuna nilicho elewa kutokana misingi ya maswali ulivyo kuwa.Nitakujibu kwa weledi
Kichwa cha habari kinasema malezi duni na utandawazi
Msingi wa kwanza kabisa wa malezi bora ya mtoto ni familia yenye upendo, yenye kujali na yenye ushirikiano na mipaka
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Wanaokomalia hii kampeni wengi ndo hao hao wanaofanya kampeni ya mapenzi ya jinsia moja., na wengine ni kukwepa majukumu.Ulicho sema ni kweli. Hizi kampeni za "kataa ndoa" sioni kama zina maana kwa upande wangu ila wenda zina maana kubwa kwa wale wanazo zitangaza kila uchwao na wana sababu zao za msingi za kufanya hivyo.
Ilivyo hivi sasa ni kwamba maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kustawisha ndoa ni mgumu sana, unaweza kuwa na ndoa lakini kama huna uhakika wa kipato basi uwezekano wa mke kuwa wa kijiji kizima ni mkubwa.Tunataka kuunda Taifa gani bila ndoa?
~ Ndoa ndio chanzo cha familia.
~ Ndoa ni dalili njema ya ukomavu wa akili.
~ Ndoa ni msingi wa uwajibikaji kujali, amani, furaha na upendo.
~ Ndoa ni future, bila ndoa future haina maana sana.
😁😁😁😁😁😯😯😴😈Ni sawa lakini usipooa utaolewa.
umeaua kabisa 🤣Usipooa utaolewa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji54][emoji54][emoji42][emoji48]
Kwani kuoa ni lazima?