we call them nannies or house maidskila mtu ni kweli lazima awajibike kulea mwanae, ukijua kuzaa na kulea ujue, ila sasa ndo hapo umeshindwa kuchukua hiyo leave miaka 2 lets say na unaona muda unakimbia ufanyeje sasa?
All in all I endorse wat you have said(kila mtu alee mwanae). Noname mi sijui kwa nini wanaitwa housegirls/boys. huko kwenu waitwaje hawa?
nazungumzia hao wanaopeleka watoto kwa bibi:embarrassed1::embarrassed1:
hata wewe unajua wengi circumstances.. specific shule..ndio imewalazimu kufanya hivyo
btw ulezi si kazi ndogo,ni lazima uwe na usaidizi ili mambo yote yaende sawa,
hata kny ndoa ni lazima uwe na housegirl ama ndugu wa kukusaidia ndio mambo yatabalance...
am sure mnaosema mtalea wenyewe hamjazaa bado,na hamjakaa na ndugu anayelea kuanzia mtoto mchanga mkaona kasheshe yake!!
Good for your dearest... I love them kids really adore them but I am not ready...mie huko nimeshafunga chapter my dearest, nawasubiria nyie tu mfanye makeke...wengine sie tulikuwa tunafanya kulazimishia japo mtu akusaidie kumlisha mtoto,pole pole alizoea akawa anasaidia inapowezekana.
we call them nannies or house maids
Good for your dearest... I love them kids really adore them but I am not ready...
bora umesema namie ntafanya hivyo hivyo kulazimisha kama hatanisaidia!!!
hivi kweli hii imekujaje hapa au mi ndio nina mawenge?
Good for your dearest... I love them kids really adore them but I am not ready...
bora umesema namie ntafanya hivyo hivyo kulazimisha kama hatanisaidia!!!
Rose darling ntamlea mwenyewe mtoto wangu thats not a question.... hili jambo linawezekana sana kwa mfumo wa sasa...kwani lazima urudi kufanya kazi same place? after two yrs if the company wont take me back I will find another job...plus my husband must support me financially if he want to have baby and I will also have my own saving...I am sure I will be able to survive for two yrs....NONAME ngoja uzae uone kazi yake,
wengi walisema watalea wenyewe,
hili njambo kwa mfumo wa sasa haliwezekani,
wtau wako sooo busy,utatafuta tu msaidizi nakwambia
au uta give up kabisaa kazi ama shule
sidhani kama kuna kazi itakayokusubiri ulee kwanza afu urudi kazini,
ongea reality mwanawane leave maximum ni one year!
nilivyosema starehe sikumaanishi kula starehe only.
Kama ni shule basi bora usubiri kumaliza shule..haraka ya nini sasa...nilimaanisha life in general,kazi/kisomo na starehe as part of it...
sijui wazazi wako wakoje na watalichukuliaje jambo hili...
ila mie mama yangu cant wait for me to have kids na kunisaidia,
all in all ili jambo linadepend hao bibi na babu tunaowaongelea wako fit kiasi gani...
mzazi yoyote hasa mama hatapenda kuona mwanae anaacha shule kwa sababu ya kulea mtoto,
atalichukulia hili ni jukumu lake kama lilivyo lako
Hapana dearest ume ni misunderstood mie sijasema sihitaji maids ( r u kidding me cant live without them)... mie ntakaa nyumbani kwa ajili ya mtoto tuu...yani taking care of the baby...kumuogesha, kumlisha, kumlaza. kucheza nae etc... ila maids waendelee na kazi zao.cwezi mie kazi ya kupika, fagia, osha nguo, safisha...malezi ni magumu yackie tu, hapa unasema hutahitaji hata maids, nadhani unasema coz bado hujafikia huko, kweli hutaweza ku handle mambo mwenyewe, huku baby, huku usafi cjui nn na nn hutaweza dear...mie mtoto alikuwa akilia na mie nalia haaa malezi hapana aisee.
swali zuri sana ngoja na mie nione jibu lake litakavyokuwaMimba zisizotarajiwa ndio mimba gani hizo? Kwa sababu kama mlikuwa hamtumii kinga au kama mwanamke hayuko kwenye kidonge na mwanaume hajafanyiwa vasectomy mlikuwa mnategemea nini? Heck, kwanza kuna baadhi ya wanawake ambao hupata mimba hata kama wako kwenye kidonge.
Mimba ambazo hazikutarajiwa ni zile ambazo labda mwanamke alibakwa. Zaidi ya hapo mtu unapojamiiana na mtu mwingine kwa hiari basi uwezekano wa mimba kutungwa na mambo mengine ambayo husababishwa na ngono ni mkubwa. Njia iliyo na uhakika angalau wa 99.9% kama hutaki mimba ni abstinence.
NB: Hivi kucheza na matoy - vibrator, dildo, vidole, n.k. nako kunahesabikia kama abstinence?
Hapana dearest ume ni misunderstood mie sijasema sihitaji maids ( r u kidding me cant live without them)... mie ntakaa nyumbani kwa ajili ya mtoto tuu...yani taking care of the baby...kumuogesha, kumlisha, kumlaza. kucheza nae etc... ila maids waendelee na kazi zao.cwezi mie kazi ya kupika, fagia, osha nguo, safisha...
swali zuri sana ngoja na mie nione jibu lake litakavyokuwa
unaweza but ukishapata mtoto ni ngumu kusema hutahitaji maids, na sana sana ukishaanza kazi hapo utamuhitaji zaidi...nimekupata dearest.
Mimba zisizotarajiwa ndio mimba gani hizo? Kwa sababu kama mlikuwa hamtumii kinga au kama mwanamke hayuko kwenye kidonge na mwanaume hajafanyiwa vasectomy mlikuwa mnategemea nini? Heck, kwanza kuna baadhi ya wanawake ambao hupata mimba hata kama wako kwenye kidonge.
Mimba ambazo hazikutarajiwa ni zile ambazo labda mwanamke alibakwa. Zaidi ya hapo mtu unapojamiiana na mtu mwingine kwa hiari basi uwezekano wa mimba kutungwa na mambo mengine ambayo husababishwa na ngono ni mkubwa. Njia iliyo na uhakika angalau wa 99.9% kama hutaki mimba ni abstinence.
NB: Hivi kucheza na matoy - vibrator, dildo, vidole, n.k. nako kunahesabikia kama abstinence?
Watu mbona tuna watoto na hatukuhitaji wala hatuhitaji wahudumu (maids). Inawezekana kabisa!! Unless labda sijakuelewa
inategemeana na umri wa mtoto pia....kama ni mdogo msaidizi ni wa muhimu(kwangu) coz ctaweza kufanya mambo yote bila msaada.
watu wanaishi nchi za nje bila ya maids na wanaweza kulea bila wasi wasi.........................hawa wanawezaje hadi sisi tuhitaji maids nafikiri ndo pakuanzia
watu wanaishi nchi za nje bila ya maids na wanaweza kulea bila wasi wasi.........................hawa wanawezaje hadi sisi tuhitaji maids nafikiri ndo pakuanzia