Malezi ya leo

Malezi ya leo

mnh,
hata mie napenda watoto,
lakini nimeona dada yangu akilea wake..si kazi ndogo atii
ningependa kuzaa ila mtu akinihakikishia atanisaidia kulea...
hivi hivi sizai ng'oo...unaweza kufa kwa presha walahi!,
hao wanaopeleka kwa bibi waache wale starehe,
hata mie ningefanya hivyo,nile maisha...
nchi za watu hakuna wa kumpelekea mtoto wako..
unahangaikaaaaaaaaaaaaaaaa naye mwenyewe,!
basi tu kwanza mie mwanangu akiwa na mama yangu nitafeel yuko safe...na atapata malezi mazuri kuliko akiwa na housegirl/boy...
ni njia nzuri ya kumkuza mwanao i think...na sio kuepuka rensponsibility...
itabidi umhurumie na mama yako Rose...yani wewe ule starehe mama ndio ahangaike na mtoto..wakati yeye kamaliza kukulea wewe!!!! mie mtoto wangu ntamlea mwenyewe na baba yake atalazimishwa asaidie!! haki tena
 
Noname ni kweli usemacho, lakini kwenye hali kama hii unaon akabisa hutaweza kumpa mtoto attention anayostahili ni bora umpeleka kwa wazazi wako kuliko kumbebesha mzigo house girl na kweli mwisho wa siku utashangaa what kind of a child will turn into kwa kukosa hayo malezi stahili.

All in all wangu ntajikakamua kulea mwenyewe (its just a wish)
 
Una akili sana wewe, safi sana, labda mama yako aseme "mlete mwanao nimlee", hapo nitakubali. Lkn kwa kupeleka mtoto/watoto kwa babu na bibi ili wewe ustarehe hiyo siyo ustaarabu hata kidogo.
 
itabidi umhurumie na mama yako Rose...yani wewe ule starehe mama ndio ahangaike na mtoto..wakati yeye kamaliza kukulea wewe!!!! mie mtoto wangu ntamlea mwenyewe na baba yake atalazimishwa asaidie!! haki tena

c bora alazimishwe alazimike? mana wengine ndio tiketi ya kuchelewa kurudi home, kelele za babyanazickia muda wa kulala tu...kulea kazi jamani khaa ctaki mie, mtu ufungi jicho jamani.
 
wanaume wengine ni waelewa sana aisee, sema ndo ukikutana na wale wakwepa majukumu utalia machozi mwenyewe hapo na kuishia kumwita mama aje akusaidie kulea
 
Noname ni kweli usemacho, lakini kwenye hali kama hii unaon akabisa hutaweza kumpa mtoto attention anayostahili ni bora umpeleka kwa wazazi wako kuliko kumbebesha mzigo house girl na kweli mwisho wa siku utashangaa what kind of a child will turn into kwa kukosa hayo malezi stahili.

All in all wangu ntajikakamua kulea mwenyewe (its just a wish)
basi kama unaona hivyo bora usizae mpaka uone uko tayari...mtoto na mama yake usidanganywe... bibi masikini atakuwa kicha jichokea....

hapana kumbebesha mzigo house-girl (sijui kwanini mnawaita house girls hawa anyway)...i meant kila mtu lazima alee mtoto wake.. ukiamua kuzaa u can take a break kazini...at least for the first 2 yrs
 
kila mtu ni kweli lazima awajibike kulea mwanae, ukijua kuzaa na kulea ujue, ila sasa ndo hapo umeshindwa kuchukua hiyo leave miaka 2 lets say na unaona muda unakimbia ufanyeje sasa?

All in all I endorse wat you have said(kila mtu alee mwanae). Noname mi sijui kwa nini wanaitwa housegirls/boys. huko kwenu waitwaje hawa?
 
usizae mpaka ujue kuwa unaweza kulea mtoto..................kuchukulia kirahisi acha nizae nimpeleke kwa bibi ni kukimbia majukumu yako. Yule ni mtoto wako wewe, sio wa mama yako, lea mwenyewe na yeye akusaidie mara moja moja, ili isiwe ndio kazi yake
 
c bora alazimishwe alazimike? mana wengine ndio tiketi ya kuchelewa kurudi home, kelele za babyanazickia muda wa kulala tu...kulea kazi jamani khaa ctaki mie, mtu ufungi jicho jamani.
wala sikubishiii huwezi kumlazimisha..ila mie itabidi achague moja!!! to be a dad or a father... bora nimlee mtoto peke yangu kuliko kuvumila kurudiwa usiku bila sababu za maana.... wewe unahisi vipi Nyamayao? uhangaike na mtoto mchana kutwa na usiku,,,yeye arudie kulala tuu? amani haitakuwepo haki tena....
hahha hutaki kuzaa Nyamayao? na usipomzalia mtoto inakuwa noma!!! mama yake hawezi kunyamaza.....
 
itabidi umhurumie na mama yako Rose...yani wewe ule starehe mama ndio ahangaike na mtoto..wakati yeye kamaliza kukulea wewe!!!! mie mtoto wangu ntamlea mwenyewe na baba yake atalazimishwa asaidie!! haki tena

NONAME ngoja uzae uone kazi yake,
wengi walisema watalea wenyewe,
hili njambo kwa mfumo wa sasa haliwezekani,
wtau wako sooo busy,utatafuta tu msaidizi nakwambia
au uta give up kabisaa kazi ama shule
sidhani kama kuna kazi itakayokusubiri ulee kwanza afu urudi kazini,
ongea reality mwanawane leave maximum ni one year!
nilivyosema starehe sikumaanishi kula starehe only.
nilimaanisha life in general,kazi/kisomo na starehe as part of it...
sijui wazazi wako wakoje na watalichukuliaje jambo hili...
ila mie mama yangu cant wait for me to have kids na kunisaidia,
all in all ili jambo linadepend hao bibi na babu tunaowaongelea wako fit kiasi gani...
mzazi yoyote hasa mama hatapenda kuona mwanae anaacha shule kwa sababu ya kulea mtoto,
atalichukulia hili ni jukumu lake kama lilivyo lako,
kuhusu wababa labda mwenzetu umepata mume mzuri.
wengi likija swala la watoto hawajishughulishi ...another sad reality.:mad2:
 
kama wasemavyo wadau. tatizo la wabongo wanaona kuzaa mapema ndio dili. iwe dili wakati una uwezo wa kuwalea wanao na sio dili kuzaa kisha kuwapa wazazi wako majukumu ambayo wanaamini walishayamaliza. huwa naona maceleb wa mbele huko. mwanamke anazaa akishaona sasa ni muda muafaka. sijawahi kuona au kusikia wanazaa kisha wanaajiri mayaya na wao waendelee na career zao. zaa, lea, akifikisha umri muafaka ndipo useme nimpeleke wapi nami nifanye mambo yangu. sio kuzaa kisa unaogopa umri kwenda
 
wala sikubishiii huwezi kumlazimisha..ila mie itabidi achague moja!!! to be a dad or a father... bora nimlee mtoto peke yangu kuliko kuvumila kurudiwa usiku bila sababu za maana.... wewe unahisi vipi Nyamayao? uhangaike na mtoto mchana kutwa na usiku,,,yeye arudie kulala tuu? amani haitakuwepo haki tena....
hahha hutaki kuzaa Nyamayao? na usipomzalia mtoto inakuwa noma!!! mama yake hawezi kunyamaza.....

mie huko nimeshafunga chapter my dearest, nawasubiria nyie tu mfanye makeke...wengine sie tulikuwa tunafanya kulazimishia japo mtu akusaidie kumlisha mtoto,pole pole alizoea akawa anasaidia inapowezekana.
 
wababa wengine jamani, utadhani huyo mkewe ndo alitaka yeye kuwa na mtoto, yeye hayamuhusu. hapo sasa ndo utaonja tamu yake!
 
NONAME ngoja uzae uone kazi yake,
wengi walisema watalea wenyewe,
hili njambo kwa mfumo wa sasa haliwezekani,
wtau wako sooo busy,utatafuta tu msaidizi nakwambia
au uta give up kabisaa kazi ama shule
sidhani kama kuna kazi itakayokusubiri ulee kwanza afu urudi kazini,
ongea reality mwanawane leave maximum ni one year!
nilivyosema starehe sikumaanishi kula starehe only.
nilimaanisha life in general,kazi/kisomo na starehe as part of it...
sijui wazazi wako wakoje na watalichukuliaje jambo hili...
ila mie mama yangu cant wait for me to have kids na kunisaidia,
all in all ili jambo linadepend hao bibi na babu tunaowaongelea wako fit kiasi gani...
mzazi yoyote hasa mama hatapenda kuona mwanae anaacha shule kwa sababu ya kulea mtoto,
atalichukulia hili ni jukumu lake kama lilivyo lako,
kuhusu wababa labda mwenzetu umepata mume mzuri.
wengi likija swala la watoto hawajishughulishi ...another sad reality.:mad2:
unazungumzia kupata mtoto ukiwa kwenye ndoa au umebabatizwa tu huko kwenye hizo unazoita starehe?
 
nazungumzia hao wanaopeleka watoto kwa bibi:embarrassed1::embarrassed1:
hata wewe unajua wengi circumstances.. specific shule..ndio imewalazimu kufanya hivyo
btw ulezi si kazi ndogo,ni lazima uwe na usaidizi ili mambo yote yaende sawa,
hata kny ndoa ni lazima uwe na housegirl ama ndugu wa kukusaidia ndio mambo yatabalance...
am sure mnaosema mtalea wenyewe hamjazaa bado,na hamjakaa na ndugu anayelea kuanzia mtoto mchanga mkaona kasheshe yake!!
 
hujajibu swali. pia inaonekana unajaribu kuwajibia wengine. suala la kuwa na yaya na suala la kupeleka mtoto kwa bibi ni vitu viwili tofauti. wala hakuna anayepinga kuwa ni lazima usaidizi utafutwe
 
hahaha nimemjibia nani tena,
kama ume-establish kuna uhitaji wa usaidizi.
then sioni kwa nini ushangae hili swala la kupeleka mtoto kwa bibi
nimekujibu vizuri tu,naona una msimamo wako kuhusu kulea
na mie nina wangu,
unashindwa kunielewa..usijali i understand!:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom