itabidi umhurumie na mama yako Rose...yani wewe ule starehe mama ndio ahangaike na mtoto..wakati yeye kamaliza kukulea wewe!!!! mie mtoto wangu ntamlea mwenyewe na baba yake atalazimishwa asaidie!! haki tena
NONAME ngoja uzae uone kazi yake,
wengi walisema watalea wenyewe,
hili njambo kwa mfumo wa sasa haliwezekani,
wtau wako sooo busy,utatafuta tu msaidizi nakwambia
au uta give up kabisaa kazi ama shule
sidhani kama kuna kazi itakayokusubiri ulee kwanza afu urudi kazini,
ongea reality mwanawane leave maximum ni one year!
nilivyosema starehe sikumaanishi kula starehe only.
nilimaanisha life in general,kazi/kisomo na starehe as part of it...
sijui wazazi wako wakoje na watalichukuliaje jambo hili...
ila mie mama yangu cant wait for me to have kids na kunisaidia,
all in all ili jambo linadepend hao bibi na babu tunaowaongelea wako fit kiasi gani...
mzazi yoyote hasa mama hatapenda kuona mwanae anaacha shule kwa sababu ya kulea mtoto,
atalichukulia hili ni jukumu lake kama lilivyo lako,
kuhusu wababa labda mwenzetu umepata mume mzuri.
wengi likija swala la watoto hawajishughulishi ...another sad reality.:mad2: