Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Umeolewa kweli? Wewe ndio aina ya kina mama zetu waliobaki wachache dunian...njoo tukiendeleze kizazi bora......isije unaweza kwa watoto wa wenzio tu...wa kwako huwezi...?

Mimi nmekaanza haka katoto kangu kadogo hivi hivi kakiwa na miez nane..naona kamezidi mazoea kudeka na kulia lia kwingi...sipendi ujinga...
 
Hahahahahahhahaha unaona sasa mpaka mtoto anakosa adabu sababu ya kumchekeachekea.... Hapo akilia tu unamwangalia kwa jicho fulani hivi hahahahaha sura umeikunja mtoto anajua mmmh hapa sipo kidogo anaingiwa woga.....
 
Boss ni mzazi mwenyewe tu sisi tumelelewa na mzee pamoja na maza tena home mzee Alikuwa hajui kupiga wala kugombeza mtoto na haongeagi tu.... Ila maza alitunyoosha kweli kweli tena mnoo akikutuma umekataa stiki, umesusa kula fimbo, ukiomba kitu kwa mtu akijua tu kipigo, umetumwa sehemu umechelewa kurudi fimbo,yaani kama vitani vile dingi hana huo Muda maza anakalisha watoto wa kiume jikoni mzee anawaka kwa nini!, maza anamwambia mimi ndiye niliyezaa we subiri tu nifundishe watoto, aseee yaani maza katuburuza kweli kweli hakuna mtoto mtukutu kati yetu.... Yaani ni adabu mwanzo mwisho.... Mimi nasema mama ndiye zaidi kwenye malezi sababu nimeyaona sijahadithiwa...
 
Sijaolewa na sina mtoto ila nilivyolelewa na mamangu ndivyo nitakavyomlea mwanangu.... Yaani nampitisha mulemule
 
Na ndivyo tulivyolelewa wengi wetu..
Acha tu Kuna siku nilijifanya sitaki kupika maza wala hakunijibu kaingia jikoni kapika chakula chake tu.... Kakaa mbele yangu... Yeye na mdogo wangu wanakula, akanambia weka vidole vyako humu uone nitakachokufanya utashinda njaa leo, weee wakamaliza chote nilikaa na njaa jioni nilikimbilia jikoni mwenyew kupika sijawahi teena kugoma kupika
 
Siku hizi wazazi wanawapenda watoto kama property sio kama human beings. Saa nyingine inabidi kuwa tough kidogo ili mtoto awe kama binadamu wengine
Hayo malezi ya kufuga watoto sio mazuri...mtoto anaelekezwa Do's and Donts mapema sana na kadri anavyokuwa. Na muda wa kumshape mtoto seriously ni from 6-12 years ukizembea hapo atakuja kuwa kituko tu badae.

Jukumu la kufanya hayo ni la wote baba na mama.
 
Mwambie haka kadada @meeya kanatuletea uzungu hapa...nani kasema malezi ni baba...

Msingi wa kwanza na mwalim wa kwanza wa mtoto ni mama...hata kama mama hupati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa baba...haihalalishi kutotekeleza wajibu wako kwa watoto wako...
 
Sijaolewa na sina mtoto ila nilivyolelewa na mamangu ndivyo nitakavyomlea mwanangu.... Yaani nampitisha mulemule
Hebu njoo PM tuyajenge...wewe ndio mwanamke...sio MDADA...napenda MWANAMKE...mwanamke unayeweza kunilea mimi na watoto bila shida...

Hivi visister duu vinaona kuzaa vimeanza wao cvtak...
 
Yaani bonge la mama...huyo mama yupo nimletee mwanangu anisaidie kumnyoosha kabla hajaanza kupinda...?
 
hahah mama yako ni typically mama wa kiafrika. Hawapendagi utoto ila cha ajabu wewe utamlea mtoto kizembe utadhani huelewi nini kinatakiwaπŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Hebu njoo PM tuyajenge...wewe ndio mwanamke...sio MDADA...napenda MWANAMKE...mwanamke unayeweza kunilea mimi na watoto bila shida...

Hivi visister duu vinaona kuzaa vimeanza wao cvtak...
Eeeh boss tumefika pm tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yaani bonge la mama...huyo mama yupo nimletee mwanangu anisaidie kumnyoosha kabla hajaanza kupinda...?
Utahisi anamwonea bi mkubwa achagui mtoto wa kunyoosha yeyote anaekaa nae ataishi atakavyotaka yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…