Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Zamani ukienda na mama sehemu...akakuacha hapo akakwambia usiende mahali nisubiri hapahapa...husogei sehem mpaka atakukuta...
 
Wewe junior wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahahahahah Nilivyo mkali hivyo sidhani kama mtoto atalelewa kimayaimayai
hahah mama yako ni typically mama wa kiafrika. Hawapendagi utoto ila cha ajabu wewe utamlea mtoto kizembe utadhani huelewi nini kinatakiwa[emoji28][emoji1][emoji2]
 
Usogee sehemu ule kichapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zamani ukienda na mama sehemu...akakuacha hapo akakwambia usiende mahali nisubiri hapahapa...husogei sehem mpaka atakukuta...
 
Kuna wadada hapo juu wanauliza malezi ya familia ni ya mama pekee!? Nataka niwajibu kama ifuatavyo na hiyo ndiyo Asili ilivyo.

Familia bora inajengwa na Mama
Familia mbovu inajengwa na mama vile vile.
Watoto Imara wanajengwa na Mama
Watoto legevu na Wapumbavu wanajengwa na mama vile vile

Rejea utotoni ni mara ngapi umeishi na mama na alikuwa akikupa mafunzo gani! Rejea Biblia kitabu cha Mithali
Mwana mwenye Hekima humfurahisha Babae bali Mwana Mpumbavu ni mzigo wa *****
Biblia pia imeandika Mwanamke Mpumbavu ataivunja nyumba yake mwenyewe. Muwe na akili japo kidogo nyie wadada wa siku hizi
 
Hahahahahahaha boss sio kwa hasira hizi taratibu
 
Hizo kiss za mdomo kama ni katoto ka kiume unakuta kana miaka 2 ila kashajua kabisa hii nampa mwanamke tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…