malezi

malezi

chuji

Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
30
Reaction score
7
nani anahaki ya kuhudumia wazazi kati ya mtoto wa kike na wa kiume?
 
wote wana haki

lakini alie wa kwanza kuzaliwa anawajibika zaidi hasa kama ni mwanaume
 
ikatokea mdogo na ni wakike amejaliwa zaidi ya kakake je?
 
nani anahaki ya kuhudumia wazazi kati ya mtoto wa kike na wa kiume?
Kumuhudumia akiwa mgonjwa au? kama ni uzima kila mtu ana haki ya kumuhudumia. ila mtoto wa kiume hata akiwa wa mwisho anajukumu la kuhakikisha hili linatendeka, coz mtoto wa kike anaenda family ingine, kule anaenda kuongozwa na mumewe,kuna maamuzi mazito huwa yanahitaji kufaanyika ambapo mtoto kiume anatakiwa abebe mzigo, ila kuna case ambapo wote ni wasichana mmezaliwa, hapo hamna budi la kubeba jukumu lote
 
kumhudumia akiwa mzima majukumu ya kawaida tu.matumizi n.k
 
mwenye kipato zaidi anapaswa kuwajibika zaidi
 
Back
Top Bottom