Malezk: usimuwekee dhamana mtoto wako

Malezk: usimuwekee dhamana mtoto wako

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Baadhi ya wazazi out of love or foolishness wanamuamini mtoto undoubtably wakimchukulia kama malaika mtoto hadi kufikia hatua ya kutokuamini baadhi ya makosa yanayoripotiwa juu ya mtoto au hatua ya kutofikiri kwambaa huenda mtoto ana abc ambazo si njema.

Kuna muda yule mtoto anaeonekana ni mwema ndani ya nyumba ndo ana makando kando kuliko anaeonekana machepele, kama tunavyosema don't trust anyone, don't trust your kids either, the line between good and bad is very fine and it lies on everything human heart.

Kuna wazazi walidhani wanaodhesha watoto wao wakiwa bikra, kumbe hadi mimba walishatoa,

Ushahidi mfupi ni wewe mwenyewe kuwaza pale ambapo mzazi au mlezi alipokua anakukubali na kukuamin sana juu ya jambo fulanii kisha ukijua ulikua unafanya tofauti na alivyokua anadhani

Be open and expect the unexpected
 
Hakuna mkamilifu mbele ya Mungu, mbora ni yule ambaye anapokosea humludia mola wake akaomba msamahaa
 
Kwa hii dunia ya sasa hv, inabidi kupitia kozi za polisi kabla ya kupata watoto. Maana siku hizi ukiwa na mtoto unamchunga kama mkeka ulioshinda jackpot. Ukijisahau tu, ndo unaskia mambo ya watoto kulawitowa, mara kuangalia mapicha machafu n.k
 
Yote ni ubatili

Watu hata Biblia tu hawaamini,,,sembuse Watoto
 
Back
Top Bottom