Mali iliyoko Singida ni utajiri kwa watu wake na Taifa

Mbavu zangu, kweli kaka, kama kuna kitu watu wa Singida wanakosea, basi ni kuondoa 'Antenna ' kwa dada na binti zao, hii kitu ina madhara makubwa sana, direct and indirect, washauriwe waache.

.... antena tatizo. Zimeondolewa. Wakiacha huo upuuzi itawapaisha sana.
 
Na wanawake wa huko ni wazuri pia au
Rasilimali nyingine asilia ni Wanawake wa Singida.

Wadada wa Kinyaturu na Kinyiramba ni wazuri kimuonekano, hususani wale ambao hawajachanganya changanya sana damu (vinasaba) na makabila ya mikoa mingine 😎
 
S
Sungida hamna kitu labda kwa swala kuoa tu,
Sina hakika na madini ila hayo mengine yote ni uhakika yapo Singida. Mafuta alizeti ndio kwake, korosho ndio watu wanaanza kulima si wengi sana.
 
Usisahau miti inayotoa gundi
 
Kuna raslimali ma bar maid uliisahau.

Hawa ma barmaid wamewatajirisha sana wenye ma bar na ma gesti hausi Dar es Salaam.

Kila mwaka wanaletwa wapya. Wakija wapya lazima meneja wa bar awafanyie interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…