Mali ninazomiliki

Mali ninazomiliki

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na vyombo,gas, fridge n.k
6.viwanja viwili kimoja Cha urithi kimoja nimekinununua milioni moja na point kipo dodoma
7.magunia ya Ulezi matano,mahindi matatu,mtama manne,ngano gunia moja,mchele magunia kumi
8. M pesa laki nne na 20
9.cheti Cha Chuo kikuu degree engineering ya maji
10.ex girlfriends watano
 
Umesahau na kengele zako kuziorodhesha

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na vyombo,gas, fridge n.k
6.viwanja viwili kimoja Cha urithi kimoja nimekinununua milioni moja na point kipo dodoma
7.magunia ya Ulezi matano,mahindi matatu,mtama manne,ngano gunia moja,mchele magunia kumi
8. M pesa laki nne na 20
9.cheti Cha Chuo kikuu degree engineering ya maji
10.ex girlfriends watano
Ndo maana tunarogana we una maduka mawili, viwanja mara sabufa halafu mimi sina kila kitu zaidi ya makagaree yangu mawili tu kwanini nisikuroge sasa.
 
1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na vyombo,gas, fridge n.k
6.viwanja viwili kimoja Cha urithi kimoja nimekinununua milioni moja na point kipo dodoma
7.magunia ya Ulezi matano,mahindi matatu,mtama manne,ngano gunia moja,mchele magunia kumi
8. M pesa laki nne na 20
9.cheti Cha Chuo kikuu degree engineering ya maji
10.ex girlfriends watano
Mkuu hapo kwenye namba tano hujafafanua hiyo Gesi unayo gunia ngapi?
 
Back
Top Bottom