Mali ninazomiliki

Mali ninazomiliki

1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na vyombo,gas, fridge n.k
6.viwanja viwili kimoja Cha urithi kimoja nimekinununua milioni moja na point kipo dodoma
7.magunia ya Ulezi matano,mahindi matatu,mtama manne,ngano gunia moja,mchele magunia kumi
8. M pesa laki nne na 20
9.cheti Cha Chuo kikuu degree engineering ya maji
10.ex girlfriends watano
We mnyaturu acha uongo wako

Kule kititimo umejenga??

We si ulikua unauza nguo za mtumba unanunua kwa yule mama pale mzalendo?

Mbususu wewe
 
Back
Top Bottom