ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Umesahau na kengele zako kuziorodhesha1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na vyombo,gas, fridge n.k
6.viwanja viwili kimoja Cha urithi kimoja nimekinununua milioni moja na point kipo dodoma
7.magunia ya Ulezi matano,mahindi matatu,mtama manne,ngano gunia moja,mchele magunia kumi
8. M pesa laki nne na 20
9.cheti Cha Chuo kikuu degree engineering ya maji
10.ex girlfriends watano
Af kweli pumbu muhimu zinatakiwa zilete binadamu mwingine Hapa mjini
Muingize Forbes; huyu tayari ni bilionea!Kwahyo yufanyaje mkuu
Ndo maana tunarogana we una maduka mawili, viwanja mara sabufa halafu mimi sina kila kitu zaidi ya makagaree yangu mawili tu kwanini nisikuroge sasa.1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na vyombo,gas, fridge n.k
6.viwanja viwili kimoja Cha urithi kimoja nimekinununua milioni moja na point kipo dodoma
7.magunia ya Ulezi matano,mahindi matatu,mtama manne,ngano gunia moja,mchele magunia kumi
8. M pesa laki nne na 20
9.cheti Cha Chuo kikuu degree engineering ya maji
10.ex girlfriends watano
Sijawah kuwanayoKadi ya lumumba mbona sijaiona kwa list.
Na Mali zangu hazina uhusiano na Serikali Ni juhudi zangu na neema za Mungu tuKadi ya lumumba mbona sijaiona kwa list.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mali ulizonazo unaweza kuwa mdhamini wa yanga
Mkuu hapo kwenye namba tano hujafafanua hiyo Gesi unayo gunia ngapi?1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na vyombo,gas, fridge n.k
6.viwanja viwili kimoja Cha urithi kimoja nimekinununua milioni moja na point kipo dodoma
7.magunia ya Ulezi matano,mahindi matatu,mtama manne,ngano gunia moja,mchele magunia kumi
8. M pesa laki nne na 20
9.cheti Cha Chuo kikuu degree engineering ya maji
10.ex girlfriends watano
Sio juhudi za serikali ya awamu ya tano?Na Mali zangu hazina uhusiano na Serikali Ni juhudi zangu na neema za Mungu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo umeandika urithi au?
Hahahahahahahaaaa daah JF bhanaAf kweli pumbu muhimu zinatakiwa zilete binadamu mwingine Hapa mjini
11.korodani mbili full na mB0 yake