Mali ya Billion 3 uwekewe bima ya laki mbili [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wanafaa kupelekwa milembe
Ukakasi. Ukasisi ni vyeo kwenye dini za watuInaleta ukasisi kidogo...
Tusubili mwisho wa picha[emoji120]
Wewe mjuaji twambie inatakiwa utoe shilling ngapiMali ya Billion 3 uwekewe bima ya laki mbili [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wanafaa kupelekwa milembe
Ni ukakasi mkuu ni makosa ya kiuandishi...Ukakasi. Ukasisi ni vyeo kwenye dini za watu
alisema ni garama za bima sio garama za transaction (transaction cost,)) mwenye uelewa atuambieMali ya Billion 3 uwekewe bima ya laki mbili [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wanafaa kupelekwa milembe
Nilijiuliza pia ikiwa gari tu la dola 2500,unalipa zaidi ya dola 300.Mali ya Billion 3 uwekewe bima ya laki mbili [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wanafaa kupelekwa milembe
Hawasafirisha pesa ni cheki...!!!Kiasi cha bima kinazingatia risk iliyopo katika transfer ya pesa husika kufika kwa mlengwa... Kwa mifumo ya kibenk, risk ya kupoteza pesa wakati wa kutransfer ni ndogo sana....hivyo bei ya bima nayo inakuwa nafuu.. Gharama ya bima ingekuwa kubwa kama wanasafirisha izo pesa in a physical manner....
So hyo pesa ya bima kawatumia bank? Through moneygram? Au ni kwa insurance broker?Kiasi cha bima kinazingatia risk iliyopo katika transfer ya pesa husika kufika kwa mlengwa... Kwa mifumo ya kibenk, risk ya kupoteza pesa wakati wa kutransfer ni ndogo sana....hivyo bei ya bima nayo inakuwa nafuu.. Gharama ya bima ingekuwa kubwa kama wanasafirisha izo pesa in a physical manner....
Wewe ni mjinga sana, Dr ndio anaweza kuwapiga wanaigeria sio yeye kupigwa.Huyu Dr. Amekutana na matapeli wa kinaijeria ameshapigwa na ataendelea pigwa hizo $ 100 mpaka akiri zimrudie.Amekutana na Advance fee fraud