Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga tena?? Naisi akili zako na za Dr. Shika baba moja na mama mmojaWewe ni mjinga sana, Dr ndio anaweza kuwapiga wanaigeria sio yeye kupigwa.
Jamaa ni Jasusi wa nguvu.
Wewe bwanaHawasafirisha pesa ni cheki...!!!
Ni kweli kabisa mkuu mimi pamoja na ujanja wangu wote ila kwa huyo Dr kaniacha mbali sana na sijamuelewa badoDr atawaacha wengi sana kwenye mataa. Huyu ni agent wa FBI mzoefu na anajua sana anachokifanya
Itapendeza tukisubir mwisho wa hii drama