Mali ya billion 3 ukatie bima laki 2,kikwete alisema zakuambiwa changanya na zako

Mimi nahisi Hiyo pesa ya bima kapewa na wale jamaa waliompa tangazo(soka bet) ili kutengeneza kiki ya tangazo lao.. ila ukiangalia kiuhalisia Dr. katuingiza kingi
 
Wewe ni mjinga sana, Dr ndio anaweza kuwapiga wanaigeria sio yeye kupigwa.

Jamaa ni Jasusi wa nguvu.
Mjinga tena?? Naisi akili zako na za Dr. Shika baba moja na mama mmoja
 
Dr atawaacha wengi sana kwenye mataa. Huyu ni agent wa FBI mzoefu na anajua sana anachokifanya

Itapendeza tukisubir mwisho wa hii drama
 
Dr atawaacha wengi sana kwenye mataa. Huyu ni agent wa FBI mzoefu na anajua sana anachokifanya

Itapendeza tukisubir mwisho wa hii drama
Ni kweli kabisa mkuu mimi pamoja na ujanja wangu wote ila kwa huyo Dr kaniacha mbali sana na sijamuelewa bado
 
Namsupport sana Lous Kid ila kwa hili kuna walakini
 
Huyu Dr. Amekutana na matapeli wa kinaijeria ameshapigwa na ataendelea pigwa hizo $ 100 mpaka akiri zimrudie.Amekutana na Advance fee fraud
Ndicho kilichomkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…