CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,923
Kwani pale mwanamke anapohamia kwa mwanamme na rambo yake inakuwaje?
Mwalimu,
Hiyo kawaida mbona........si analipiwa mahari?.......:eyebrows::lol::embarassed2:
Mahari imehusu nini kwenye suala hili?
Endapo mkiachana kila mmoja atabaki/atachukua/atapewa stahili yake! Muhimu ni kuhakikisha kwa pamoja mnadumisha ndoa yenu na pia kujipatia mali zaidi kwa pamoja ili hata kama ikitokea mnaachana basi pawepo na kitu cha kugawana.Hivi tuseme umepata mpenzi wako.Ukagundua kuwa anamiliki mali kama nyumba na magari na wewe huna kitu. Mkakubaliana kuoana. Ukahamia kwake wewe na Rambo yako. Hali huwaje baadae? ...
Unajuwa wanawake ni wavumulivu sana kwenye hili neno...... UMEKUJA NA RAMBO YAKO HAPA HALAFU UNANILETEA USExxxx.... Kuliko ilivyo kwa wanaume. Katika hali halisi one day mama litamtoka tu hilo........... by the way unadhani kwa nini ndoa za wananwake wenye nazo huwa zina misukosuko sana?? USIONE WABABA WANATOKA NA ma-VX... kinachowakuta ndani ya nyumba ni siri yao. Na ndiyo maana wanawake maarufu/wenye fweza kulinda ndoa zao ni ishu sana....... wachache sana wenye uwezo huo............. NA OLE WAKO UFANYE KITU KITAKACHOHARIBU UMAARUFU WAKE.............. UtajiJEIJEI.....Hivi tuseme umepata mpenzi wako.Ukagundua kuwa anamiliki mali kama nyumba na magari na wewe huna kitu. Mkakubaliana kuoana. Ukahamia kwake wewe na Rambo yako. Hali huwaje baadae? Tunaweza rejea wimbo wa Simba wa Nyika ''utakuja nitafuta....mashariki na magharibi''.Hiki ni kisa cha kweli cha mwanamuziki marehemu George Peter Kinyonga aliyetupiwa virago nje na mkewe baada ya kutofautiana.
Ndugu asikudanganye mtu......... tofauti ipo kijamii...... na mbaya zaidi jamii inakubali mwanamke kuhamia kwa mwanaume kuliko mwanaume kuhamia kwa mwanamke........... UTAWASIKIA.......... UNAMZUNGUMZIA NANI....? .... Badili Tabia.......? Kaolewa yule na Lizzy..........hamna tofauti na pale mwanamke anapohamia kwako
Ndugu asikudanganye mtu......... tofauti ipo kijamii...... na mbaya zaidi jamii inakubali mwanamke kuhamia kwa mwanamke kuliko mwanaume kuhamia kwa mwanamke........... UTAWASIKIA.......... UNAMZUNGUMZIA NANI....? .... Badili Tabia.......? Kaolewa yule na Lizzy..........
Huyu Lizzy nimeona mpaka mmemfungulia thread yake.......bolingo complique eeh?
Jamani!!! Naomba unifafanulie hapo mwisho.