Mali za kulipa hiyo 1.2bn zipo za kumwaga,sijui huyo jaji kwanini aseme hotel zipigwe mnada au hajui thamani ya hizo hotel
Sasa Mkuu Jaji ataota kuwa kuna Mali sehemu flani au itategemea na presentation mahakamaniMali za kulipa hiyo 1.2bn zipo za kumwaga,sijui huyo jaji kwanini aseme hotel zipigwe mnada au hajui thamani ya hizo hotel
You are suffering from cronic Inferiority Complex with malnutrition background.Unajua kwa wakazi wa ARUSHA na KILIMANJARO, wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ na wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO.
Kumbe sio! Hali halisi haiko hivyo! UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ umeshikwa na SERENGETI yaani CHUI halafu wanaofuatia ni MWASHITA yaani SIMBA π¦, jamii nyingine hazipo kwenye ramani.
Hata UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO umeshikwa na SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ yenyewe kupitia SEKTA YA UTALII NA MADINI, jamii nyingine ni SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Halafu kitu kingine, pale ARUSHA kuna CHUO CHA KIJESHI yaani MILITARY ACADEMY na pale KILIMANJARO kuna CHUO CHA POLISI yaani POLICE ACADEMY, kwahiyo hii mikoa miwili kuna uwangalizi mkubwa sana kutokana na uwepo wa hivyo vyuo vya kipolisi na kijeshi.
Na SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ imewekeza sana kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi. Hauwezi kuamini kuwa pale CHUO CHA POLISI - MOSHI [ CCP ] kuna askari wana vyeo vikubwa sana kuliko hata RPC wa KILIMANJARO. Sasa kwanini mkoa wa KILIMANJARO usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona POLISI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIPOLISI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida - ndio maana hawa wenyeji wa MKOA WA KILIMANJARO wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa ARUSHA, pale CHUO CHA KIJESHI kuna askari wana vyeo vikubwa kuliko hata MKUU WA KANDA. Sasa kwanini mkoa wa ARUSHA usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona JESHI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIJESHI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida na ndio maana hawa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO huwa wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ kupitia raia wa kawaida [ wengi wao huwa ni askari kanzu ] wanamiliki UCHUMI MKUBWA sana kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO na sasa hivi wameenda mpaka MANYARA. Na hii yote ni kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi.
Na nikupe siri nyingine - kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO ukilimiki hata BAA achilia mbali HOTELI ZA KITALII watakukagua mpaka BABU NA BIBI zako. Hii yote ni kwa sababu ya kiulinzi na kiusalama kwa CHUO CHA KIJESHI na CHUO CHA KIPOLISI.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa TANZANIA πΉπΏ nzima. Hauwezi kusema UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ umeshikiliwa na wageni! Kwanza hao wageni wametoka wapi? Mpaka waje kushikilia UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ? Hakuna kitu kama hicho! Kwanza hakuna SERIKALI yoyote inayoruhusu UCHUMI wake ushikiliwe na wageni.
Hao wote mnaowaona ni wafanyakazi wa kawaida lakini wamiliki halali huwa ni WATANZANIA WEUSI pamoja SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ.
While there are fair few issues to deal with a single person is vastly superior to the alternative ππ½You are suffering from cronic Inferiority Complex with malnutrition background.
So sad,Mali za Impala na Naura Spring Hotel mkoani Arusha zitauzwa ili kulipa madeni zaidi ya TZS 1.2B ya wafanyakazi.
Mchanganuo:
Wafanyakazi wa Naura- 68
Deni- TZS milioni 180
Wafanyakazi wa Impala- 165
Deni- TZS milioni 787.5
Fedha nyingine zitalipwa mifuko ya hifadhi ya jamii.
View attachment 1933334
View attachment 1933335
Nyumba za kulipa hilo deni zipo kibao,kama kuuza angesema iuze hotel moja walipe deni...hiyo kesi familia imejaza mawakili kma wote ngoja tuone mwishoWafanyakazi wa hizo hoteli ndio wenye madai. Sijui umeelewa?
Kuna wakili mshkaji kaniambia familia imeweka mawakili wapambane na hiyo kesi....hapo mwisho watamalizana kwa kuwalipa kuna mali zitauzwaSasa Mkuu Jaji ataota kuwa kuna Mali sehemu flani au itategemea na presentation mahakamani
Hakuna kitu kama hicho! Hayo mengine ni MANYOKA MANYOKA tu! Wengine wanaita BOSHENI ππSo sad,
Mwanaume alipambana akajenga empire ya utajiri mkubwa,amekufa,Mali zinasambaratika?!aliowaacha hata kuja na business plan Ili kuziendeleza wameshindwa,kuzikodisha wameshindwa,kutafuta hata ceo aziendeshe kwa mpito wameshindwa,
Wao walijari kula bata wakati Mwenye mali yupo.
Kuna umuhimu wa serikali kutoa Elimu,mtu anapokuwa na mali nyingi na biashara aziweke kwenye mfumo wa kampuni inayojiendesha hata kama hayupo,kuwe na bodi ya wakurugenzi nk.
Kwa wenzetu,Kuna makampuni yana miaka 150,170,200!mpaka leo yapo,Ford,MTU,Detroit,
Sasa hapa ajira ndio kwaeli!Kodi hakuna tena
kuna binadamu wa hovyo sana yani unakaa chini unaandika utopolo kiasi hichi?Unajua kwa wakazi wa ARUSHA na KILIMANJARO, wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241] na wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO.
Kumbe sio! Hali halisi haiko hivyo! UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241] umeshikwa na SERENGETI yaani CHUI halafu wanaofuatia ni MWASHITA yaani SIMBA [emoji881], jamii nyingine hazipo kwenye ramani.
Hata UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO umeshikwa na SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] yenyewe kupitia SEKTA YA UTALII NA MADINI, jamii nyingine ni SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881].
Halafu kitu kingine, pale ARUSHA kuna CHUO CHA KIJESHI yaani MILITARY ACADEMY na pale KILIMANJARO kuna CHUO CHA POLISI yaani POLICE ACADEMY, kwahiyo hii mikoa miwili kuna uwangalizi mkubwa sana kutokana na uwepo wa hivyo vyuo vya kipolisi na kijeshi.
Na SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] imewekeza sana kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi. Hauwezi kuamini kuwa pale CHUO CHA POLISI - MOSHI [ CCP ] kuna askari wana vyeo vikubwa sana kuliko hata RPC wa KILIMANJARO. Sasa kwanini mkoa wa KILIMANJARO usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona POLISI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIPOLISI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida - ndio maana hawa wenyeji wa MKOA WA KILIMANJARO wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa ARUSHA, pale CHUO CHA KIJESHI kuna askari wana vyeo vikubwa kuliko hata MKUU WA KANDA. Sasa kwanini mkoa wa ARUSHA usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona JESHI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIJESHI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida na ndio maana hawa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO huwa wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] kupitia raia wa kawaida [ wengi wao huwa ni askari kanzu ] wanamiliki UCHUMI MKUBWA sana kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO na sasa hivi wameenda mpaka MANYARA. Na hii yote ni kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi.
Na nikupe siri nyingine - kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO ukilimiki hata BAA achilia mbali HOTELI ZA KITALII watakukagua mpaka BABU NA BIBI zako. Hii yote ni kwa sababu ya kiulinzi na kiusalama kwa CHUO CHA KIJESHI na CHUO CHA KIPOLISI.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa TANZANIA [emoji1241] nzima. Hauwezi kusema UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241] umeshikiliwa na wageni! Kwanza hao wageni wametoka wapi? Mpaka waje kushikilia UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241]? Hakuna kitu kama hicho! Kwanza hakuna SERIKALI yoyote inayoruhusu UCHUMI wake ushikiliwe na wageni.
Hao wote mnaowaona ni wafanyakazi wa kawaida lakini wamiliki halali huwa ni WATANZANIA WEUSI pamoja SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241].
Umejipinda kuandika upumbavu mmoja wa hali ya juu mno,yaani ni takataka,a k a Rubbish,a k a Trash,hujui lolote mburukengeUnajua kwa wakazi wa ARUSHA na KILIMANJARO, wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ na wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO.
Kumbe sio! Hali halisi haiko hivyo! UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ umeshikwa na SERENGETI yaani CHUI halafu wanaofuatia ni MWASHITA yaani SIMBA π¦, jamii nyingine hazipo kwenye ramani.
Hata UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO umeshikwa na SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ yenyewe kupitia SEKTA YA UTALII NA MADINI, jamii nyingine ni SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Halafu kitu kingine, pale ARUSHA kuna CHUO CHA KIJESHI yaani MILITARY ACADEMY na pale KILIMANJARO kuna CHUO CHA POLISI yaani POLICE ACADEMY, kwahiyo hii mikoa miwili kuna uwangalizi mkubwa sana kutokana na uwepo wa hivyo vyuo vya kipolisi na kijeshi.
Na SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ imewekeza sana kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi. Hauwezi kuamini kuwa pale CHUO CHA POLISI - MOSHI [ CCP ] kuna askari wana vyeo vikubwa sana kuliko hata RPC wa KILIMANJARO. Sasa kwanini mkoa wa KILIMANJARO usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona POLISI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIPOLISI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida - ndio maana hawa wenyeji wa MKOA WA KILIMANJARO wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa ARUSHA, pale CHUO CHA KIJESHI kuna askari wana vyeo vikubwa kuliko hata MKUU WA KANDA. Sasa kwanini mkoa wa ARUSHA usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona JESHI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIJESHI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida na ndio maana hawa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO huwa wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ kupitia raia wa kawaida [ wengi wao huwa ni askari kanzu ] wanamiliki UCHUMI MKUBWA sana kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO na sasa hivi wameenda mpaka MANYARA. Na hii yote ni kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi.
Na nikupe siri nyingine - kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO ukilimiki hata BAA achilia mbali HOTELI ZA KITALII watakukagua mpaka BABU NA BIBI zako. Hii yote ni kwa sababu ya kiulinzi na kiusalama kwa CHUO CHA KIJESHI na CHUO CHA KIPOLISI.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa TANZANIA πΉπΏ nzima. Hauwezi kusema UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ umeshikiliwa na wageni! Kwanza hao wageni wametoka wapi? Mpaka waje kushikilia UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ? Hakuna kitu kama hicho! Kwanza hakuna SERIKALI yoyote inayoruhusu UCHUMI wake ushikiliwe na wageni.
Hao wote mnaowaona ni wafanyakazi wa kawaida lakini wamiliki halali huwa ni WATANZANIA WEUSI pamoja SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ.
Mkuu,hoteli haziuzwi hata moja,vinavyouzwa ni viwanja vilivyoko maeneo ya uzunguni,plot namba 16 na vingine kadhaa,Soma-https://www.jamiiforums.com/threads/mahakama-yapukutisha-mali-za-bilionea-mrema-yaamuru-kupigwa-mnada.1792360/Mali za kulipa hiyo 1.2bn zipo za kumwaga,sijui huyo jaji kwanini aseme hotel zipigwe mnada au hajui thamani ya hizo hotel
Umejipinda kuandika upumbavu mmoja wa hali ya juu mno,yaani ni takataka,a k a Rubbish,a k a Trash,hujui lolote mburukenge
Acheni lugha za matusi! Mambo mengine ni BOSHENI tu ππkuna binadamu wa hovyo sana yani unakaa chini unaandika utopolo kiasi hichi?
We jamaa nimeshindwa hata kukujibuUnajua kwa wakazi wa ARUSHA na KILIMANJARO, wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241] na wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO.
Kumbe sio! Hali halisi haiko hivyo! UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241] umeshikwa na SERENGETI yaani CHUI halafu wanaofuatia ni MWASHITA yaani SIMBA [emoji881], jamii nyingine hazipo kwenye ramani.
Hata UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO umeshikwa na SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] yenyewe kupitia SEKTA YA UTALII NA MADINI, jamii nyingine ni SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881].
Halafu kitu kingine, pale ARUSHA kuna CHUO CHA KIJESHI yaani MILITARY ACADEMY na pale KILIMANJARO kuna CHUO CHA POLISI yaani POLICE ACADEMY, kwahiyo hii mikoa miwili kuna uwangalizi mkubwa sana kutokana na uwepo wa hivyo vyuo vya kipolisi na kijeshi.
Na SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] imewekeza sana kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi. Hauwezi kuamini kuwa pale CHUO CHA POLISI - MOSHI [ CCP ] kuna askari wana vyeo vikubwa sana kuliko hata RPC wa KILIMANJARO. Sasa kwanini mkoa wa KILIMANJARO usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona POLISI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIPOLISI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida - ndio maana hawa wenyeji wa MKOA WA KILIMANJARO wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa ARUSHA, pale CHUO CHA KIJESHI kuna askari wana vyeo vikubwa kuliko hata MKUU WA KANDA. Sasa kwanini mkoa wa ARUSHA usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona JESHI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIJESHI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida na ndio maana hawa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO huwa wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] kupitia raia wa kawaida [ wengi wao huwa ni askari kanzu ] wanamiliki UCHUMI MKUBWA sana kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO na sasa hivi wameenda mpaka MANYARA. Na hii yote ni kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi.
Na nikupe siri nyingine - kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO ukilimiki hata BAA achilia mbali HOTELI ZA KITALII watakukagua mpaka BABU NA BIBI zako. Hii yote ni kwa sababu ya kiulinzi na kiusalama kwa CHUO CHA KIJESHI na CHUO CHA KIPOLISI.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa TANZANIA [emoji1241] nzima. Hauwezi kusema UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241] umeshikiliwa na wageni! Kwanza hao wageni wametoka wapi? Mpaka waje kushikilia UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241]? Hakuna kitu kama hicho! Kwanza hakuna SERIKALI yoyote inayoruhusu UCHUMI wake ushikiliwe na wageni.
Hao wote mnaowaona ni wafanyakazi wa kawaida lakini wamiliki halali huwa ni WATANZANIA WEUSI pamoja SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241].
Ndio! Ni kweli inashangaza! Lakini hiyo michezo ndio huwa inafanyika hivyo!Hii inanishangaza Sana, Kiwanja Cha impala tu hapo kilipo ni mil 500... Ukitoa jengo lenyewe lenye thamani ya zaidi ya B 5 na vitu vyake vilivyomo ndani. Kuna ufisadi mkubwa hapo unafanyika
Ndio! Halafu hawa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO huwa ni watu wa DRAMA, yaani huwa wanaishi yale maisha ya kuigiza.We jamaa nimeshindwa hata kukujibu
Yani umetuona sisi sote humu ma bogus?
Kwa maandishi yako inaonyesha ulikua umeajiriwa na mchaga akakufukuza kazi kwa kuwa snitch wa kupeleka taarifa za ofisi yake TRA, nssf, TAKUKURU n.k. ili kumharibiaNdio! Halafu hawa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO huwa ni watu wa DRAMA, yaani huwa wanaishi yale maisha ya kuigiza.
Hawa watu wakiwa hawana kitu, huwa wananyenyekea mpaka wanatia hudhuni. Yaani huwa wanaomba kusimamia biashara yoyote ilmradi na wao wapate PESA ya matumizi.
Shida inakuja kwa familia zao! Yaani ukiwapa biashara ya kusimamia, wao wanafanya kama biashara ya familia zao. Mfano mzuri ni kampuni ya KILIMANJARO TRUCK LTD yenye mabasi ya KILIMANJARO EXPRESS.
Na matatizo yanapokuja kutokea kama MISIBA, unaweza kufikishana hadi MAHAKAMANI. Wao wanafoji hadi DOCUMENTS ili kuonesha kuwa ilikuwa ni mali familia na imeachwa na MAREHEMU.
Kwahiyo inabidi kujipanga kweli kweli! Sasa hivi mambo na nyakati zimebadilika! UTAPELI umekuwa mwingi mno na watu wanafikishana MAHAKAMANI kwa mambo ya kujitakia wenyewe.
Ni bora na nafuu kusimamia biashara zako mwenyewe kuliko kuwapa watu wengine kusimamia maana inaweza kutokea kama ya HOTELI ZA IMPALA NA NAURA SPRINGS au KAMPUNI ZA MeTL NA LAKE GROUP au KAMPUNI ZA MOIL NA FRESHO yenyewe.
Hatua nzuri na sahihi ni kuwafukuza kabla mambo hayajaharibika. Na kampuni zote za MWASHITA yaani SIMBA π¦ watafukuza wale wote waliotokea FORBES kwa kampuni zisizo zao na utaratibu utabadilishwa maana hauwezi kuajiriwa halafu na wewe ukaweka WATOTO wako na baadae hao WATOTO wako wanaenda kwenye VYOMBO VYA HABARI kama vituo vya radio na televisheni wanasema ni KAMPUNI YA FAMILIA.
Hizi ni dalili za UTAPELI na ni dalili mbaya kwa siku za usoni. Dawa yake ni kuwafukuza wote na kuweka utaratibu mzuri kwenye kuendesha KAMPUNI ZA BINAFSI na KAMPUNI ZA SERIKALI.
Sisi ndio huwa tunawapa michongo hawa watu! PESA watoe wapi kwenye MIGOMBA huko!Kwa maandishi yako inaonyesha ulikua umeajiriwa na mchaga akakufukuza kazi kwa kuwa snitch wa kupeleka taarifa za ofisi yake TRA, nssf, TAKUKURU n.k. ili kumharibia