Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Mali za kulipa hiyo 1.2bn zipo za kumwaga,sijui huyo jaji kwanini aseme hotel zipigwe mnada au hajui thamani ya hizo hotel
kwani mwenye nyumba ya milioni 100 iliyowekwa dhamana ya mkopo, akiwa anadaiwa salio la milioni 20, nyumba haiuzwi ????