Wewe ni mgeni TANZANIA [emoji1241]? Au una matatizo kichwani? Fanya ukamuone daktari maana bado hujachelewa.
Mimi ndio MANDELA CHARLES, [ [emoji23][emoji23][emoji23] ]. Na hao wachagga nimewaajiri humo kwenye KILIMANJARO EXPRESS na mpaka muda huu SAA NANE ZA USIKU wapo kazini.
Halafu pia, mimi ni METALLURGICAL & MINERAL PROCESSING ENGINEER - hivi kuna mchagga wa kuniajiri mimi? Maana hata VIWANDA hamna! Migodi na yenyewe hamna! Makampuni ya mafuta na yenyewe vile vile hamna! Yaani nyinyi ni MAJUNGU tu, ndio mnaweza.
Na kitu kingine ambacho mnaweza ni kufanya LOBBYING serikalini na kwenye kampuni binafsi ambazo hazijielewi. Lakini sio kwenye kampuni za MWASHITA yaani SIMBA [emoji881].
Pakikucha kesho, nenda TCRA kaulize LESENI YA TIGO TANZANIA [emoji1241] inasoma jina gani halafu uje utueleze vizuri humu - JAMIIFORUMS.
Maana kwa siku ya kesho itakuwa ni siku ya mwisho mpaka JUMAMOSI ndio utaniona humu. Nitakuwa makini na mchakato wa kumpata MKURUGENZI MPYA wa TIGO TANZANIA [emoji1241].