dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hii ndiyo raha ya muungano, kwenye shida na raha tuko pamoja
safi sana,
safi sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwahi kusikia wapi Zanzibar inakopa kama si kwa mgongo wa Tanzania mkuuKuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano, hili la Madeni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar siyo jambo la Muungano.
Ndugu zetu Wazanzibar huku Bara tunasema "Dawa ya Deni Kulipa" tunaomba mlipe hayo madeni bila kuhusisha Muungano
Watoe Bandari yao kulipia huo Mchele ili wajifunze!Madeni ya mchele ulioagizwa tangu miaka 37 iliyopita yaani tarehe 23 July 1985, na kesi kunguruma hadi mwezi November 2022 ktk Mahakama ya juu kabisa ya Rufaa Tanzania na kutolewa uamuzi kuwa dola za kimarekani USD 69, 044, 651.24 pamoja na juu yake riba ya asilimia 25 tangu January 1997 ilipwe kwa mdai :
COURT RESOLVES CONTROVERSY OVER 158BN/- PAYMENTS
11-11-2022
![]()
![]()
THE Government of Zanzibar is to pay over 158bn/-, which includes principal sum and interests to a Company, Laemthong Rice Co. Ltd, being worth of 39,900 tonnes of rice supplied about 37 years ago.
By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
This follows a decision of the Court of Appeal to allow an appeal under which the Company, the appellant, had lodged to oppose the decision of Registrar of the High Court of Zanzibar to certify the entitled payments at USD 5,700,000 instead of USD 69,044,651.24.
“We allow this appeal. Consequently, we quash the Registrar's ruling as well as (that) of the High Court, (which rejected the application for reference on such decretal sum),” Justices Stella Mugasha, Ignas Kitusi and Sam Rumanyika declared in their judgment delivered recently.
They set aside the certification of USD 5,700,000 and stood by the Court judgment dated 18 December, 2000, stating that the ruling by the Registrar given in favour of Principal Secretary in the Ministry of Finance Zanzibar, the respondent, was wrong whatever arguments that had been put forward.
The justices pointed out that the Court's finding on such point in its earlier decision was very clear that the rice was duly delivered in three shipments between 1986 and 1988 and there was part payment of the agreed price.
They recalled to have states that the balance and the accumulated interest amounted to USD 69, 044, 651.24 as of January 1997 and the efforts to secure settlement of the debt proved fruitless although the respondent did not deny the debt, but actually acknowledged it on 15 July, 1996.
“The above has remained to be the position. The Registrar had no powers to alter the ex- parte judgment and decree of the High Court, nor the previous order of this Court in this case,” the justices said.
Similarly, they said, in dismissing the application for reference lodged by the appellant to challenge the decision of the Registrar, the High Court abdicated its duty to correct the Registrar's manifest error.
“What was stated by the Court in (the case of) Victoria Real Estate Development Limited, on the duty of the parties and even the courts to respect court orders, was recently restated in (the case of) Karori Chogoro vs Waitihache Merengo, Civil Appeal No. 164 of 2018 (unreported),” they said.
On 23 July 1985, which is 37 years ago, at the request of the Government of Zanzibar, the appellant supplied it with 39,900 tonnes of rice worth USD 12,935,685, with compounded interest of 25 percent per annum.
No full payment for the rice has ever been made by the respondent in fulfilment of its contractual obligation. The appellant instituted proceedings in the High Court claiming the said USD 69, 044, 651.24 together with interest thereon at 25 percent per annum from January 1997 until full payment.
The respondent, though duly represented by the Attorney General's Chambers in Zanzibar, failed to file any defence due to his lack of co-operation with the Chambers. This led to the Chambers withdrawing in frustration. The court entered an ex-parte judgment after receiving evidence of the appellant.
Reason behind the matter pending in Court for all such long is for determination of the amount that should be paid by the respondent and how execution should be carried out.
However, on 18 December, 2000, the Court pronounced itself on that issue. Even after the Court's clear position, execution of the decree proved to be a nightmare and the issue of the amount to be paid was resurrected.
After the enactment of the Government Proceedings Act No. 3 of 2010 that barred such execution, the matter was taken to the Registrar of the High Court of Zanzibar to issue a certificate for the decretal amount.
The Registrar issued a certificate for the amount of USD 5,700,000. The appellant challenged the Registrar's ruling on such certification by way of reference to the High Court. However, the High Court dismissed the reference. It was at that point in time when the matter went back to the Court of Appeal : Source : https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=posts/webview&id=1718
tanzlii.org
https://tanzlii.org › judgment › cour...
Laemthong Rice Co. Ltd vs Pricipal Secretary Ministry of Finance ...
Laemthong Rice Co. Ltd vs Pricipal Secretary Ministry of Finance Zanzibar (Civil Appeal 259 of 2019) [2022] TZCA 697 (09 November 2022);.
Nyie wapemba Mlipe hela ya mchele hiyo mnapenda kula mpunga kumbe mlikuwa mnakopa.Uliwahi kusikia wapi Zanzibar inakopa kama si kwa mgongo wa Tanzania mkuu
Kwa deni hili, leo Zanzibar mtaiita ni nchi!
Zanzibar ni nchi ama si nchi!Nyie wapemba Mlipe hela ya mchele hiyo mnapenda kula mpunga kumbe mlikuwa mnakopa.
umasikini mbaya sana huo wa kukopa hadi chakula.
Hao hawakukopa ila waliagiza mchele wakala wakagoma kulipa.Uliwahi kusikia wapi Zanzibar inakopa kama si kwa mgongo wa Tanzania mkuu
Kwa deni hili, leo Zanzibar mtaiita ni nchi!
Mkuu kwani Hujui Zanzibar ni Nchi, Soma Katiba vizuri utaona kuwa Tanzania ni Muungano wa Nchi 2 za Tanganyika na Zanzibar.Uliwahi kusikia wapi Zanzibar inakopa kama si kwa mgongo wa Tanzania mkuu
Kwa deni hili, leo Zanzibar mtaiita ni nchi!
Kama ndio hivyo basi hata Mahakama ya Rufaa ambayo ni ya muungano haikutakiwa kusikiliza hiyo kesi. Inasikiliza Jambo ambalo liko nje ya Jurisdiction yake.Kuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano, hili la Madeni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar siyo jambo la Muungano.
Ndugu zetu Wazanzibar huku Bara tunasema "Dawa ya Deni Kulipa" tunaomba mlipe hayo madeni bila kuhusisha Muungano
Mama juzi kasema kitu kimoja tukifanyie kazi. Ufisadi mkubwa wa malipo nje ni kazi ya vigogo ndani. Hata hili la kukamatwa mali za nchi nje ni kazi za vigogo kushirikiana na wahuni wanaolala wakiwaza jinsi ya kudhulumu nchi kama zetu.Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366), CAGanaripoti...
Ni kweli Chief, manake ukisoma ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Fedha za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/2022 amelitambua Deni la Serikali ya Jamhuri ni shilingi 72 Trilioni, wakati hilo Deni la Zanzibar umeona hapo ni 97 Trillioni.Swadakta walipe tu wasitilie huruma
1985. Walikuwa wanakopa kutokana na sera mbovu za kugawana umasikini zilizotokana na siasa ya Ujamaa.Nyie wapemba Mlipe hela ya mchele hiyo mnapenda kula mpunga kumbe mlikuwa mnakopa.
umasikini mbaya sana huo wa kukopa hadi chakula.
Itakuwa walitoa ombi maalumu kuwa hiyo kesi isikilizwe kwenye Mahakama ya Tanzania Bara as Zanzibar ni Mtoto wetu hivyo ni rahisi kumpa upendeleo ikiwemo Muda mrefu wa Kulipa hilo DeniKama ndio hivyo basi hata Mahakama ya Rufaa ambayo ni ya muungano haikutakiwa kusikiliza hiyo kesi. Inasikiliza Jambo ambalo liko nje ya Jurisdiction yake.
Kesi ilikuwa iende kwenye Mahakama za Kimataifa ambazo hazina mpaka kwenye jambo ambalo nchi husika imeridhia mkataba wa jambo hilo.
Zanzibar sio nchi kama ilivyo Tanganyika!Mkuu kwani Hujui Zanzibar ni Nchi, Soma Katiba vizuri utaona kuwa Tanzania ni Muungano wa Nchi 2 za Tanganyika na Zanzibar.
Kwahiyo hilo deni nina uhakika limekopwa na Nchi ya Zanzibar ukirefer Katiba
Michele ya tr 97?Hao hawakukopa ila waliagiza mchele wakala wakagoma kulipa.
Una mimba ya lissu? Maana muda wote unamuwaza lissu tuLisu aliyesoma kwa kodi za watanzania atatusaidia kushinda kesi
Ni sahihi Mkuu unachosema, lakini kwanini hilo Deni CAG hakulitambua na halipo kwenye Vitabu vyetu pale kwa Msajili wa Hazina?Zanzibar sio nchi kama ilivyo Tanganyika!
Baada ya muungano huo kulibaki jina Tanzania na ndiyo maana Tanganyika wala Zanzibar haiwezi kwenda kukopa isipokuwa Tanzania!
Kama ni hivyo, inabidi madeni yote yanalipwa na Tanzania sio Tanganyika wala Zanzibar