Mali za Serikali Kukamatwa

hii ndiyo raha ya muungano, kwenye shida na raha tuko pamoja
safi sana,
 
Kuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano, hili la Madeni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar siyo jambo la Muungano.

Ndugu zetu Wazanzibar huku Bara tunasema "Dawa ya Deni Kulipa" tunaomba mlipe hayo madeni bila kuhusisha Muungano
Uliwahi kusikia wapi Zanzibar inakopa kama si kwa mgongo wa Tanzania mkuu

Kwa deni hili, leo Zanzibar mtaiita ni nchi!
 
Watoe Bandari yao kulipia huo Mchele ili wajifunze!
 
Uliwahi kusikia wapi Zanzibar inakopa kama si kwa mgongo wa Tanzania mkuu

Kwa deni hili, leo Zanzibar mtaiita ni nchi!
Nyie wapemba Mlipe hela ya mchele hiyo mnapenda kula mpunga kumbe mlikuwa mnakopa.

umasikini mbaya sana huo wa kukopa hadi chakula.
 
Uliwahi kusikia wapi Zanzibar inakopa kama si kwa mgongo wa Tanzania mkuu

Kwa deni hili, leo Zanzibar mtaiita ni nchi!
Mkuu kwani Hujui Zanzibar ni Nchi, Soma Katiba vizuri utaona kuwa Tanzania ni Muungano wa Nchi 2 za Tanganyika na Zanzibar.

Kwahiyo hilo deni nina uhakika limekopwa na Nchi ya Zanzibar ukirefer Katiba
 
Kuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano, hili la Madeni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar siyo jambo la Muungano.

Ndugu zetu Wazanzibar huku Bara tunasema "Dawa ya Deni Kulipa" tunaomba mlipe hayo madeni bila kuhusisha Muungano
Kama ndio hivyo basi hata Mahakama ya Rufaa ambayo ni ya muungano haikutakiwa kusikiliza hiyo kesi. Inasikiliza Jambo ambalo liko nje ya Jurisdiction yake.
Kesi ilikuwa iende kwenye Mahakama za Kimataifa ambazo hazina mpaka kwenye jambo ambalo nchi husika imeridhia mkataba wa jambo hilo.
 
Kesi ya siku nyingi sama hii, kuna kipindi meli ya znz ilikamatwa huko Sheli sheli kwa ajili hii lakini ikaachiliwa kwa hoja za state immunity kama dege letu lilivyoachiliwa SA.
 
Mama juzi kasema kitu kimoja tukifanyie kazi. Ufisadi mkubwa wa malipo nje ni kazi ya vigogo ndani. Hata hili la kukamatwa mali za nchi nje ni kazi za vigogo kushirikiana na wahuni wanaolala wakiwaza jinsi ya kudhulumu nchi kama zetu.
 
Swadakta walipe tu wasitilie huruma
Ni kweli Chief, manake ukisoma ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Fedha za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/2022 amelitambua Deni la Serikali ya Jamhuri ni shilingi 72 Trilioni, wakati hilo Deni la Zanzibar umeona hapo ni 97 Trillioni.

Kumbe hilo ni deni maalumu kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
 
Nyie wapemba Mlipe hela ya mchele hiyo mnapenda kula mpunga kumbe mlikuwa mnakopa.

umasikini mbaya sana huo wa kukopa hadi chakula.
1985. Walikuwa wanakopa kutokana na sera mbovu za kugawana umasikini zilizotokana na siasa ya Ujamaa.
Na muasisi unamjua vizuri mpaka nchi ikamshinda akajidai anang'atuka mwaka huo.
Kumbuka Chama Cha siasa kilikuwa kimoja tu wakati huo na ndio kilichoshika hatamu ya uongazi na mambo yote yanayoihusu Tanzania kwa ujumla wake.
 
na wazenji walivyozoea vya bure kutoka kwa waarabu adi tende waletewe, kulikon uko kwa mzungu
 
Itakuwa walitoa ombi maalumu kuwa hiyo kesi isikilizwe kwenye Mahakama ya Tanzania Bara as Zanzibar ni Mtoto wetu hivyo ni rahisi kumpa upendeleo ikiwemo Muda mrefu wa Kulipa hilo Deni
 
Mkuu kwani Hujui Zanzibar ni Nchi, Soma Katiba vizuri utaona kuwa Tanzania ni Muungano wa Nchi 2 za Tanganyika na Zanzibar.

Kwahiyo hilo deni nina uhakika limekopwa na Nchi ya Zanzibar ukirefer Katiba
Zanzibar sio nchi kama ilivyo Tanganyika!

Baada ya muungano huo kulibaki jina Tanzania na ndiyo maana Tanganyika wala Zanzibar haiwezi kwenda kukopa isipokuwa Tanzania!

Kama ni hivyo, inabidi madeni yote yanalipwa na Tanzania sio Tanganyika wala Zanzibar
 
wali wale wao madeni tulipe sisi ? watukome hao wala urojo.
 
Ni sahihi Mkuu unachosema, lakini kwanini hilo Deni CAG hakulitambua na halipo kwenye Vitabu vyetu pale kwa Msajili wa Hazina?

It's obviously ni deni la Zanzibar kama Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…