conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Kw
Pili km imetokea Kodi ikakusanywa akapewa kandarasi wa barabara then huyu kandarasi kutokana na mapato ya ule mradi akalipa Kodi. Je hii siyo Kodi?je imetokana na nn?maana pesa za kandarasi zimetokana na Kodi .
Mfano wa tatu ni kuhusu huduma mtumishi yeyote huwa nae ana nunua mahitaji km chakula mavazi na ardhi/majengo..kwa kanuni Kodi anaelipa ni mtumiaji wa mwisho je watumishi hawanunui bia wakachangia vat na tozo zingine?
Labda utafute hoja ya maslah binafsi Ila si suala la Kodi ,Kila mtu analipa Kodi kwa shughuli yake ,mfanyabiasha anapougua akaenda kitibiwa analipa pesa Ile pesa ndio thamani ya mtumishi aliemtibia hivyo pale mtumishi katumia ujuzi kutibu ndo akalipwa .
AniNafikiri inarudi kwenye kodi ilikotoka. Ipo hivi. Mfano serikali imekusanya kodi Milioni mia tano. Ikatumia milioni mia moja kulipa mishahara watumishi wake. Milioni tisa wakakatwa kama PAYE. Je unafikiri jumla ya kodi ya serikali inakuwa imeongezeka kuwa milioni mia tano na tisa? Hapana.
Badala yake kodi Tsh milioni 91 imetumika kulipa mishahara na serikali imebakiwa na milioni 409. Kwahiyo, watumishi wa umma ni wala kodi, si walipa kodi.
Labda ungeelewa ingekuwa pesa yote wamelipwa halafu wenyewe wangeipeleka tra ndo ungeona wamelipa Kodi kwa uelewa wako.Nafikiri inarudi kwenye kodi ilikotoka. Ipo hivi. Mfano serikali imekusanya kodi Milioni mia tano. Ikatumia milioni mia moja kulipa mishahara watumishi wake. Milioni tisa wakakatwa kama PAYE. Je unafikiri jumla ya kodi ya serikali inakuwa imeongezeka kuwa milioni mia tano na tisa? Hapana.