Mali za umma zinapouzwa, watumishi wa Serikali wasiruhusiwe kununua sababu si walipa kodi

Kw
Ani
Labda ungeelewa ingekuwa pesa yote wamelipwa halafu wenyewe wangeipeleka tra ndo ungeona wamelipa Kodi kwa uelewa wako.

Pili km imetokea Kodi ikakusanywa akapewa kandarasi wa barabara then huyu kandarasi kutokana na mapato ya ule mradi akalipa Kodi. Je hii siyo Kodi?je imetokana na nn?maana pesa za kandarasi zimetokana na Kodi .
Mfano wa tatu ni kuhusu huduma mtumishi yeyote huwa nae ana nunua mahitaji km chakula mavazi na ardhi/majengo..kwa kanuni Kodi anaelipa ni mtumiaji wa mwisho je watumishi hawanunui bia wakachangia vat na tozo zingine?
Labda utafute hoja ya maslah binafsi Ila si suala la Kodi ,Kila mtu analipa Kodi kwa shughuli yake ,mfanyabiasha anapougua akaenda kitibiwa analipa pesa Ile pesa ndio thamani ya mtumishi aliemtibia hivyo pale mtumishi katumia ujuzi kutibu ndo akalipwa .
 
Mkandarasi wa serikali ni kama mtumishi tu. Hawalipi kodi. Bila kutumia pesa ya kodi hawaingizi hata mia. Na hiyo wanayokatwa haiongezi hata mia kwenye kodi inayokusanywa na nchi.
 
Mkandarasi wa serikali ni kama mtumishi tu. Hawalipi kodi. Bila kutumia pesa ya kodi hawaingizi hata mia. Na hiyo wanayokatwa haiongezi hata mia kwenye kodi inayokusanywa na nchi.
Tuanzie Kodi ni nini na inatokana na nini?
Changamoto kubwa tunashindwa kuquantify service into monetary value.

Huduma ni fedha hivyo asingekua ameajiriwa mtumishi wa umma kufanya iyo kazi angekuwa amepewa. Mzabuni. Kufanya iyo kazi. Naye angelipwa. Baada ya malipo Hali naye angetoa kadi.

Mfano mfanyakazi wa kivuko...anafanya kazi inayozalisha pesa hivyo sehem ya kipato chake. Analipa Kodi.
Ila km huamini hutaamini kwa kua Kodi ni sehemu ya mapoto yako..kitendo Cha serikali kuchukua Kodi kabla ya kumkabidhi mtumishi pesa hakimaanishi kuwa mtumishi halipi kodi
 
Nchi hii, hakuna asie lipa Kodi. Mchunga ng'ombe anae lipwa 50,000 Tsh kwa mwazi ,bila kukatwa paye akinunua vocha inakatwa Kodi.

Akinunua bati ,analipa na VAT.

hivyo hivyo watumishi wa umma , wanakatwa Kodi kwenye mshahara wao, na Bado wakiingia mtaani kwenye matumizi Kuna Kodi +Tozo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujui kwamba watumishi wa umma ndiyo wanaoongoza kwa kulipa kodi nchi hii, tena kiulazima kodi inakatwa juu juu bila kona kona.

Bora wafanyabiashara wanaweza wakakwepakwepa, hawa watumishi hawana hiyo option.
Kwamba mtumishi WA Umma analipa Kodi kumzidi Mo dewij au Bakhrresa?

Kuna mfanyakazi yoyote hapa tanzania analipa Kodi kuzidi Duka lolote la Spare za Magari kariakoo ???


Unajua Duka la spare kariakoo Lina total sales za kiasi gani Kwa mwezi ?


Yani mishahara ya watumishi ya 500,000 ndio wawe wanalipa Kodi kushinda wafanyabiashara wenye total sales za 300,000,000 unachekesha Sana [emoji1787]
 
Acha kufanya assumptions kwa vitu ambavyo havina maana,ni viizuri kabla ya kuandika Uzi wowote humu pata ABC ya hill jambo.
Unaonekana huna hata basic knowledge ya mambo ya uchumi,halafu mbaya zaidi unajifanya mjuaji.MTU kama wewe ambaye unaelemishwa huelewi huna tofauti na tahira.
 
Hujui kama hujui
 
Watumishi wa Serikali wanalipa kodi ambayo hukatwa moja kwa moja kutoka kwenye mishahara yao
 
Mi ndiyo nakuelimisha lakini huelewi. Umekariri toka unakua ukisikia watumishi wa umma na viongozi wanasema wanalipa kodi. Kama roboti, hilo limekukaa kichwani.
 
Watumishi wa Serikali wanalipa kodi ambayo hukatwa moja kwa moja kutoka kwenye mishahara yao
Ile siyo kodi. Haiongezi hata mia kwenye kodi inayokusanywa na nchi. Badala yake, watumishi wa umma wanatumia kodi kama ambavyo kodi hutumika kujenga barabara.
 
Ile siyo kodi. Haiongezi hata mia kwenye kodi inayokusanywa na nchi. Badala yake, watumishi wa umma wanatumia kodi kama ambavyo kodi hutumika kujenga barabara.
Sidhani kama kichwani upo vyema! nenda kasome sheria za kodi na aina za kodi zinazokusanywa na walipaji ni akina nani.
 
Sidhani kama kichwani upo vyema! nenda kasome sheria za kodi na aina za kodi zinazokusanywa na walipaji ni akina nani.
Kusema ni kodi haifanyi iwe kodi. Unafikiri viongozi wanataka kujulikana kuwa hawalipi kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…