Mali za vigogo madawa ya kulevya zakamatwa...

Tunawataka wanaowatuma kufanya hiyo kazi
 
Mbona habari za kukamata wauza sembe nchini zimeanza kuenea ghafla tu baada ya matukio mengi ya wasafirishaji kukamatwa nchi za nje? Je sasa ndio serikali inakurupuka na kuona umuhimu wa kututangazia majina hayo?
Wa-TZ tunafanya kazi kwa kusukumwa na matukio. Matokeo yake ni 'failure'. Mkuu wa mkoa alitoa amri lile Orofa bovu libomolewe baada ya Orofa pacha kuangukia watu, lakini Orofa hilo bado limesimama. Serikali ya Nchi hii! Anyway kama mnafanya kazi kwa kusukumwa kwa matukio basi mtasukumwa sana na matukio yajayo mpaka mtachoka ku-respond! Pangeni mambo bana!
 
Serikali imelazwa usingizi wa pono na aliyewalaza ametoroka. Wauza unga hawa wangekuwa CHADEMA wangesota rumande ila kwakuwa ni ccm raha tupu.
 



ukiskia bado yapo njoo nishike ----
huu ndio upuuuzi na upumbavuwatu walimshauri nzowa unataja majina na kiasi sema kesi zao zimeishaje na mizigo imeenda wapi...si hivyo tu hata baadhi waliokamatwa wamekiri kupewa na baadhi ya askari kanzu mizigo ya madawa ya kulevya ambao wenye akili unaweza jua imetokea wapi na askari wamapatia wapi madawa haya

jiulize mkuu wa nchi na mwaka wa nne anatangaza ana majina ya wauzaji madawa ya kulevya

majuzi waziri wake nae kaja na wanaoua tembo na kudai ana majina yake na kukiri ni vigogo wa hali ya juu

nani aliemzidi mungu ??unahisi kama sio mungu kikwete angekuwa pale ...kagasheki angesema ule ujinga na upuuzi ....is only god grace ndio maana wako pale lakini wanavyoishi wanahisi awafi kesho ndio maana wanaacha hili liendelee nilisema na nitaendelea kusema kama mungu aishivyo hata kama atotaja kikwete basi mungu atamweka wake mwenye kutetea watanzania kuhusu madawa ya kulevya ...aiwezekani vijana wetu kutumika kama makontena ya kubebea madawa ya kulevya tumboni badala ya kubebea mimba ...hii lazima tuzipinge kwa nguv zote watanzania hata usiposema wewe mungu atainua mawe kuonge juu ya madawa ya kulevya mwenye macho na asikie maneno haya appostle pdidy anayosema

tuombeane uhai
 
hata mimi swali la kingmairo nimejiuliza sana. Lakini cha kufanya hapa ni hivi "watanzania tufanye mikutano ya halaiki ya kuwaombea hawa watu, kila anayejihusisha na biashara ya kulevya, hata kama hatumii, aanze kuziharisha na kufa papo hapo". Ama akiwa bosi ama msafirishaji afe kimyakimya. Wakati mwingine kumbe tuanze kuishi kama vipindi vya Musa kwa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…