mkuu una mpango wa kuachana na shemeji au. Nijibu hilo kwanza
kuna kitabu fulani bofya hapa utaelewa kiemandikwa kwa kiswahili kaka. bofya hapa HAKI KATI YA MME NA MKE, KUGOMBANIA MTOTO N.K ~ SHERIA TANZANIAHapana Mkuu. Kulikuwa na mjadala fulani kwenye jukwaa la MMU, kuna mdau moja amesema mme wake alichukua gari lake lambalo alinunua kabla ya ndoa hivyo sio sehemu ya wanandoa. Sasa just curious kujua kisheria mali za wanandoa ni zipi kwa jicho la kisheria. Ni hilo tu mkuu.