Mali za wanandoa

Mali za wanandoa

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,793
Reaction score
2,401
Naomba kueleweshwa hapa. Kisheria, mali ambayo mwanandoa amekukuta nayo say kiwanja/ shamba inahesabika au haihesabiki kama sehemu ya mali ya wanandoa? Kuna ahadi fulani husemwa kanisani (baadhi ya dini za kikristo) kuwa " nakushirikisha kwa mwili wangu na Mali zangu za duniani" hii huwa ni Mali zipi kama sio ulizonazo kabla ya ya ahadi?. Je, hii ahadi ina mashiko yoyote kisheria?
 
Hili swali umeuliza muda mrefu kweli sema wanasheria wamegoma kukujibu
 
mkuu una mpango wa kuachana na shemeji au. Nijibu hilo kwanza
 
mkuu una mpango wa kuachana na shemeji au. Nijibu hilo kwanza

Hapana Mkuu. Kulikuwa na mjadala fulani kwenye jukwaa la MMU, kuna mdau moja amesema mme wake alichukua gari lake lambalo alinunua kabla ya ndoa hivyo sio sehemu ya wanandoa. Sasa just curious kujua kisheria mali za wanandoa ni zipi kwa jicho la kisheria. Ni hilo tu mkuu.
 
Back
Top Bottom