TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
-
- #41
Utakufa utaniacha hapa,nikisema R.I.P uttoh2002,wewe chukua taarifa masuala ya mikakati haya ni yakwangu mimi,Sasa ukifa leo' sisi wana jamii forum uliotukaripia na Capital letters ndo tutahakikisha haya au uandae mazingira ya kisheria kujiandaa na hayo?
Kelele na justifications zako hazibadili chochote, ila mikakati yako....
[emoji1][emoji1][emoji1]Kwa mbali naiona IST Moja na Subaru Forester pamoja na nyumba ya vyumba vitatu na madeni NMB na CRDB [emoji3]
Inatuuma sana 🤣🤣🤣Naona baba wadogo wa jf wamechachamaa kweli kweli kusikia Mali zako ni za watoto wako wanaona ukifa hawatopata kitu,ndio hao wanaodhulumu watoto pindi wazazi wao wanapofariki
Utakufa utaniacha hapa,nikisema R.I.P uttoh2002,wewe chukua taarifa masuala ya mikakati haya ni yakwangu mimi,
Sitaki kuamini kwamba kila aliye tangulia kuzaliwa basi ana akili,sitaki kuamini kwa sababu ni mzazi basi yupo sahihi kama wewe unaamini hivyo basi hiyo ni genetical disorder that you must rebuke it.Kwa hio wewe una akili kuliko waliokutangulia? Hivi unajua mali zina depreciate with time.
Hivi unajua hotel ya kitalii mbeleni si kitu.
Hivi unajua magari ya leo ni scraper za kesho.
Unasahau kuwa Mungu kasema kola mtu atakula kwa jasho lake.
Sisi waislamu tunaamini mtu akifa riziki yake inafungwa na mali zake zinapukutika.
Wewe ni chanzo cha utajiri wa wanaoo ila mali zako si za kwao kwa sababu mazingira watajayoishi ni tofauti.
Wazee wetu waliona mbali kiliko sidi pamoja na madigrii mengi kichwani hatuwafikii hata kidogo.
😅😅😅🙌🙌🙌hawa jamaa bwani wasije nipiga shoka,Naona baba wadogo wa jf wamechachamaa kweli kweli kusikia Mali zako ni za watoto wako wanaona ukifa hawatopata kitu,ndio hao wanaodhulumu watoto pindi wazazi wao wanapofariki
Mimi sio Mkurya mimi ni MPANGWA asili kabisaSwala la kufa au kuwepo ni la Mungu, wa Kurya uwa mna shida sana, kila la heri Mura...
Absolutely, na roho mbaya kwa baadhi ya jamii hata wazazi zipo dhidi ya watoto wakuwazaa wao wenyeweWatanzania wengi hawana cha kurithisha chenye muendelezo tofauti na uchawi, roho mbaya, husda, chuki....
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani nyuma nayo ni sehemu ya mali ambazo unasema ni mali za watoto?,hata nikifa wanangu hiyo nyumba hawatoweza kuishi ni either watatoa waishi yatima au isaidie jamii kwa namna nyingine ,au iwe ofisi ya familia lakini sio kuishi maana haitakuwa chaguo la nyumba waitakayoUsije ukawa na nyumba kerege halafu unasumbuwa watu hapa eti una Mali.
Huwa sitaki kuamini kwamba nyumba ni mali,kwangu mimi mali ni kile kitu kinaleta pesa kila sikuMimi Mali zangu nikifa nyie wenyewe mtakaokuwepo mtaamua mnafanyaje Mimi Nina nyumba ya udongo moja ya vyumba vitatu na eneo uwanja wa Miguu 16
Huwa sitaki kuamini kwamba nyumba ni mali,kwangu mimi mali ni kile kitu kinaleta pesa kila siku
Amin,Roho mbaya ni kitu unatusumbua wa Afrika,mtoto umzae wewe halafu unaacha anahangaika kwa kauli hizi mali zanguHawawezi wakakuelewa waafrica especially watanzani tunaroho mbaya sana, nashangaa mtu unakuwa na roho mbaya hadi kwa watoto wako?. Tunapenda kuona mtu akiteseka ndio furaha yetu,
Kama ulivyosema ni vizuri kuwatengenezea mazingira mazuri watoto wako maana hao ndio wa kusimamia siku ambazo utakuwa haujiwezi kitu ulichokihangaikia.
Wanawake mali ni zao na familia walipozaliwaMbona siwasikii wanawake nao wakisema mali zao ni zao na waume zao ??
Ila wanaume wanajikaza kusema mali zao ni zao na wake zao.
Tumepigwa hapa
Si kwa upande wangu,na wala sihangaikii kujenga nyumba mimi bali ninacho hangaikia ni kutengeneza misingi bora ya uhuru wa kifedha,once hii ikawa imara ,nyumba utaijenga kwa muda mfupi sana teana kwa gharama zozote,na aina yeyoteHizo ndo Mali zetu wabongo 90%
Mbona rahisi akifa watu wanapindua meza mahakamani, atakufa na roho mbaya, mbingu hataionaAbsolutely, na roho mbaya kwa baadhi ya jamii hata wazazi zipo dhidi ya watoto wakuwazaa wao wenyewe
Bado hainiondolei sababu ya mimi kuzifanya za kwao,kwani watakuwa nq muda wakumlaumu nani? Mimi? Hapana,nipo kutekeleza majukumu yangu kama muanzilishi wa generation yangu,kuboresha zaidi kupo mikononi mwao, ambapo hilo nalitegemea maana nawaandaa zaidi,lakini kubomoa pia ,kupo ndani yaoWatoto mzee akifa watauza mali fasta na kula na malaya
Mbona mume wako anasema za kwake ni zakwake na wewe, lkn za kwako humjumlishi mumeo unasema ni za kwako na wanao.Mali zangu ni kwa ajili ya wanangu,kwani si kila mtu ametoka kwao ?
Mimi sio mwanamke kaka ni mwanaume,mwanamke ahahaki yakutafuta vyake kama ilivyo kwa mwanaume na sisi kama mume na mke tunahaki yakutafuta vyetu,hivyo vyetu vyote ni vya watoto wetu na vyangu mimi ni vya watoto wetu vyake atajua mwenyeweMbona mume wako anasema za kwake ni zakwake na wewe, lkn za kwako humjumlishi mumeo unasema ni za kwako na wanao.
Wanawake nyie ni matapeli