MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

Sasa ukifa leo' sisi wana jamii forum uliotukaripia na Capital letters ndo tutahakikisha haya au uandae mazingira ya kisheria kujiandaa na hayo?

Kelele na justifications zako hazibadili chochote, ila mikakati yako....
Utakufa utaniacha hapa,nikisema R.I.P uttoh2002,wewe chukua taarifa masuala ya mikakati haya ni yakwangu mimi,
 
Naona baba wadogo wa jf wamechachamaa kweli kweli kusikia Mali zako ni za watoto wako wanaona ukifa hawatopata kitu,ndio hao wanaodhulumu watoto pindi wazazi wao wanapofariki
 
Utakufa utaniacha hapa,nikisema R.I.P uttoh2002,wewe chukua taarifa masuala ya mikakati haya ni yakwangu mimi,

Swala la kufa au kuwepo ni la Mungu, wa Kurya uwa mna shida sana, kila la heri Mura...
 
Kwa hio wewe una akili kuliko waliokutangulia? Hivi unajua mali zina depreciate with time.
Hivi unajua hotel ya kitalii mbeleni si kitu.
Hivi unajua magari ya leo ni scraper za kesho.
Unasahau kuwa Mungu kasema kola mtu atakula kwa jasho lake.
Sisi waislamu tunaamini mtu akifa riziki yake inafungwa na mali zake zinapukutika.
Wewe ni chanzo cha utajiri wa wanaoo ila mali zako si za kwao kwa sababu mazingira watajayoishi ni tofauti.
Wazee wetu waliona mbali kiliko sidi pamoja na madigrii mengi kichwani hatuwafikii hata kidogo.
Sitaki kuamini kwamba kila aliye tangulia kuzaliwa basi ana akili,sitaki kuamini kwa sababu ni mzazi basi yupo sahihi kama wewe unaamini hivyo basi hiyo ni genetical disorder that you must rebuke it.

Mungu alisema? Umetumia reference ya maandishi,hiyo sio gurantee kama ni kweli au si kweli,unaenda kwa imani tu

Suala la wewe kuamini ni suala la imani ambayo haina justification yoyote,sambamba na hilo kifalsafaipo sahihi kwa kuwa hakuna marehemu mwenye riziki ndio maana nasema vyote ni vya wanangu.

Kwa suala la imani kila kitu ni cha Mungu kwa suala kibinadamu ni vya wanangu

Siwezi kuishi kwa maono ya watu wengine hata kama ni wazee wangu,kwani unafikiri kwanini ulizaliwa na kichwa chako,ubongo wako na akili zako?,ofcourse naweza nisiwafikie ila sio lengo langu kuwafikia ama kutowafikia ama kushindana nao bali lengo kuwa na kanuni zangu kivyanguvyangu.

Ramadhan Kareem😅
 
Naona baba wadogo wa jf wamechachamaa kweli kweli kusikia Mali zako ni za watoto wako wanaona ukifa hawatopata kitu,ndio hao wanaodhulumu watoto pindi wazazi wao wanapofariki
😅😅😅🙌🙌🙌hawa jamaa bwani wasije nipiga shoka,
 
Usije ukawa na nyumba kerege halafu unasumbuwa watu hapa eti una Mali.
Kwani nyuma nayo ni sehemu ya mali ambazo unasema ni mali za watoto?,hata nikifa wanangu hiyo nyumba hawatoweza kuishi ni either watatoa waishi yatima au isaidie jamii kwa namna nyingine ,au iwe ofisi ya familia lakini sio kuishi maana haitakuwa chaguo la nyumba waitakayo
 
Mimi Mali zangu nikifa nyie wenyewe mtakaokuwepo mtaamua mnafanyaje Mimi Nina nyumba ya udongo moja ya vyumba vitatu na eneo uwanja wa Miguu 16
Huwa sitaki kuamini kwamba nyumba ni mali,kwangu mimi mali ni kile kitu kinaleta pesa kila siku
 
Hawawezi wakakuelewa waafrica especially watanzani tunaroho mbaya sana, nashangaa mtu unakuwa na roho mbaya hadi kwa watoto wako?. Tunapenda kuona mtu akiteseka ndio furaha yetu,

Kama ulivyosema ni vizuri kuwatengenezea mazingira mazuri watoto wako maana hao ndio wa kusimamia siku ambazo utakuwa haujiwezi kitu ulichokihangaikia.
Amin,Roho mbaya ni kitu unatusumbua wa Afrika,mtoto umzae wewe halafu unaacha anahangaika kwa kauli hizi mali zangu
 
Hizo ndo Mali zetu wabongo 90%
Si kwa upande wangu,na wala sihangaikii kujenga nyumba mimi bali ninacho hangaikia ni kutengeneza misingi bora ya uhuru wa kifedha,once hii ikawa imara ,nyumba utaijenga kwa muda mfupi sana teana kwa gharama zozote,na aina yeyote
 
Watoto mzee akifa watauza mali fasta na kula na malaya
Bado hainiondolei sababu ya mimi kuzifanya za kwao,kwani watakuwa nq muda wakumlaumu nani? Mimi? Hapana,nipo kutekeleza majukumu yangu kama muanzilishi wa generation yangu,kuboresha zaidi kupo mikononi mwao, ambapo hilo nalitegemea maana nawaandaa zaidi,lakini kubomoa pia ,kupo ndani yao
 
Mbona mume wako anasema za kwake ni zakwake na wewe, lkn za kwako humjumlishi mumeo unasema ni za kwako na wanao.

Wanawake nyie ni matapeli
Mimi sio mwanamke kaka ni mwanaume,mwanamke ahahaki yakutafuta vyake kama ilivyo kwa mwanaume na sisi kama mume na mke tunahaki yakutafuta vyetu,hivyo vyetu vyote ni vya watoto wetu na vyangu mimi ni vya watoto wetu vyake atajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom