Hizo ni mali zetu wote. Walijimilikisha baada ya mfumo wa chama kimoja!Mali zote ambazo ni za seikali wataifishe ziwe za serikali haraka sana na wafungue chama kingine
Mkuu Kamundu, hii sio haki!, kuna mali za CCM ni za wanachama wamejitolea ikiwemo ofisi ndogo ya CCM Lumumba, hii ni mali halali ya CCM.Mali zote ambazo ni za seikali wataifishe ziwe za serikali haraka sana na wafungue chama kingine
Hii sio haki!, kuna mali za CCM ni za wanachama wamejitolea ikiwemo ofisi ndogo ya CCM Lumumba, hii ni mali halali ya CCM.
Mali nyingine halali ni mali zinazotokana na michango ya hiyari ya wanachama. Mali ambazo ni za umma ni zile zilizochumwa kuanzia 1977 mpaka 1992 tuliposanza mfumo wa vyama vingi.
Hawa wahuni na wahalifu waliotanda mabarabani, wasitutoe utu na kuanza kuisakama CCM yote na kusahau mazuri yote CCM iliyotutendea.
Kesho vijana wa JWTZ wanaingia barabarani kuwatuliza vijana.
Jumapili INEC inamtangaza Maa mshindi wa uchaguzi, anaapishwa Jumatano uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Maisha yaendelee.
p
P
We mzee tulia huna cha kishauri tuliza kipira watu wafanye kazi we si chawa wa chama? Tuliaaaaaaa watanzania wale waoga leo wanafanya yaoHii sio haki!, kuna mali za CCM ni za wanachama wamejitolea ikiwemo ofisi ndogo ya CCM Lumumba, hii ni mali halali ya CCM.
Mali nyingine halali ni mali zinazotokana na michango ya hiyari ya wanachama. Mali ambazo ni za umma ni zile zilizochumwa kuanzia 1977 mpaka 1992 tuliposanza mfumo wa vyama vingi.
Hawa wahuni na wahalifu waliotanda mabarabani, wasitutoe utu na kuanza kuisakama CCM yote na kusahau mazuri yote CCM iliyotutendea.
Kesho vijana wa JWTZ wanaingia barabarani kuwatuliza vijana.
Jumapili INEC inamtangaza Maa mshindi wa uchaguzi, anaapishwa Jumatano uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Maisha yaendelee.
p
P
Sasa watu wanao pigania haki yao unawaita wahuni Ngosha mwenzangu unatuangushaHii sio haki!, kuna mali za CCM ni za wanachama wamejitolea ikiwemo ofisi ndogo ya CCM Lumumba, hii ni mali halali ya CCM.
Mali nyingine halali ni mali zinazotokana na michango ya hiyari ya wanachama. Mali ambazo ni za umma ni zile zilizochumwa kuanzia 1977 mpaka 1992 tuliposanza mfumo wa vyama vingi.
Hawa wahuni na wahalifu waliotanda mabarabani, wasitutoe utu na kuanza kuisakama CCM yote na kusahau mazuri yote CCM iliyotutendea.
Kesho vijana wa JWTZ wanaingia barabarani kuwatuliza vijana.
Jumapili INEC inamtangaza Maa mshindi wa uchaguzi, anaapishwa Jumatano uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Maisha yaendelee.
p
P
Sijui jina lako liongezwe kwenye list ya maafui wa taifa? Any way katibu wa gen z atangaliaHii sio haki!, kuna mali za CCM ni za wanachama wamejitolea ikiwemo ofisi ndogo ya CCM Lumumba, hii ni mali halali ya CCM.
Mali nyingine halali ni mali zinazotokana na michango ya hiyari ya wanachama. Mali ambazo ni za umma ni zile zilizochumwa kuanzia 1977 mpaka 1992 tuliposanza mfumo wa vyama vingi.
Hawa wahuni na wahalifu waliotanda mabarabani, wasitutoe utu na kuanza kuisakama CCM yote na kusahau mazuri yote CCM iliyotutendea.
Kesho vijana wa JWTZ wanaingia barabarani kuwatuliza vijana.
Jumapili INEC inamtangaza Maa mshindi wa uchaguzi, anaapishwa Jumatano uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Maisha yaendelee.
p
P
Wewe chawa tulia. Ukiendelea tutakuja kukusalimia nyumbani kwako.Mkuu Kamundu, hii sio haki!, kuna mali za CCM ni za wanachama wamejitolea ikiwemo ofisi ndogo ya CCM Lumumba, hii ni mali halali ya CCM.
Mali nyingine halali ni mali zinazotokana na michango ya hiyari ya wanachama. Mali ambazo ni za umma ni zile zilizochumwa kuanzia 1977 mpaka 1992 tuliposanza mfumo wa vyama vingi.
Karibu mitaa hii uone nilisema nini
Thread 'CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?' CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
Na hapa Thread 'Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!' Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
Hawa wahuni na wahalifu waliotanda mabarabani, wasitutoe utu na kuanza kuisakama CCM yote na kusahau mazuri yote CCM iliyotutendea kwa miaka yote hiyo.