Baada ya kuanza masomo kwenye chuo cha Harvard, mtoto wa kwanza wa kike wa rais mstaafu wa Marekani Barak Obama, Malia Obama amekuwa gumzo kubwa chuoni baada ya kufanya kitendo kilichomfanya aongelewe sana na wanafunzi wenzake.
Malia alionekana kwenye mchezo wa American Football akimpa busu mwanafunzi mwenzake wa kiume na baada ya dakika chache alionekana kuwasha na kuanza kuvuta Sigara.
Barack na mke wake Michelle hawaja ongelea jambo hili mpaka sasa ingawa wengi wanasema ndio maisha ya chuo hayo hawawezi kuingilia maisha ya mtoto wao.
View attachment 636004
View attachment 636005
View attachment 636011View attachment 636015
hao wenye kofia nyekundu where are they staring at? wapo tu au wana miguu ya kuku viunoni?
Wambea kinyama ukiwa sikiliza wanavyoongea Hao kina sudi cha mtotiHv TMZ sindo shilawadu wa mambele?
Ni Maria siyo MaliaBaada ya kuanza masomo kwenye chuo cha Harvard, mtoto wa kwanza wa kike wa rais mstaafu wa Marekani Barak Obama, Malia Obama amekuwa gumzo kubwa chuoni baada ya kufanya kitendo kilichomfanya aongelewe sana na wanafunzi wenzake.
Malia alionekana kwenye mchezo wa American Football akimpa busu mwanafunzi mwenzake wa kiume na baada ya dakika chache alionekana kuwasha na kuanza kuvuta Sigara.
Barack na mke wake Michelle hawaja ongelea jambo hili mpaka sasa ingawa wengi wanasema ndio maisha ya chuo hayo hawawezi kuingilia maisha ya mtoto wao.
View attachment 636004
View attachment 636005
View attachment 636011View attachment 636015
Na wewe ujui. GoogleNi Maria siyo Malia
Ni Maria siyo Malia